hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni kuhusu hii App ya Boxreta

    Habari zenu wakuu Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine. Swali langu kwa waliowahi kutumia app hii je unafanya kazi kweli? au ni ya matapeli maana nasikia app hiyo ni ya hapa hapa Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

    1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu 2. Kufanya kiswahili kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nahisi naibiwa sio kwa miamala hii. Wenye ujuzi mnisaidie

    Wasaalam! Poleni kwa majukumu, moja kwa moja kwenye mada naomba mnisaidie kwa mnaojua hizi aina za miamala (kwenye picha) Kuna huu muamala CRDB wanaita TMS Cash Withdrawal Desc. Persanal Cash withdrawal Naomba kujua ni muamala wa aina gani maana kuna kiasi cha pesa 300k nilipokea, nasikutoa...
  4. JamiiForums Tanzania Uelewa Mdogo wa Misingi na Maadili ya Uandishi wa Habari sababu kubwa ya kushuka kwa viwango vya tasnia hii

    Tasnia ya uandishi wa habari katika nchi zinazoendelea mfano Tanzania inakumbwa na changamoto nyingi ambazo zinatajwa kila siku mfano, citizen journalism ambayo imempa nafasi kila mtu kuweza kuhabarisha watu popote alipo kupitia simu yake ya mkononi. Ambapo kwa upande wangu Changamoto kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii inakuwa imekaaje?

    Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata! Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
  6. JamiiForums Tanzania Umeelewaje Katuni hii ya King Kinya aliyomchora mtu anayefanana na Tundu Lissu

    Gazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi Tanga yanasa watu 11 wakidaiwa ni "Tuma kwa namba hii"

    Tanga. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga likiwashikilia watuhumiwa 11 kwa makosa ya utapeli kwa njia ya mandao, majirani katika nyumba waliyokuwa wakiishi watuhumiwa hao wamesema wakiwa humo walikuwa na utamaduni wa kufungua muziki kwa sauti kubwa. Pia wanadai watuhumiwa waliokuwa wamepanga...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  9. JamiiForums Tanzania Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

    Signed Out
  10. JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wa aina hii mnakera sana

    Hey Hakuna watu wanakera kama hawa mtu anapoomba hela anasumbua sana simu azikauki lakini akishapa iyo hela umemtumia hajibu sms kama amepata yaani ulie tuma umpigie umuulize umepata kumpigia simu ni kama unaomba asante ase mimi nakwazika sana
  12. JamiiForums Tanzania Hii picha imepigwa wapi?

  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais kama Mtumishi wa Umma ana haki ya kupata mapumziko. Miaka miwili mfululizo bila likizo ni kawaida?

    Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma. Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

    Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni nchi au familia?

    Moja kwa moja kwenye mada, Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli? Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote? Hebu tazama mifano michache hapa chini:- Hebu soma mtiririko hapo juu, Je, sisi wananchi ni "majuha"?! Au hii...
  16. JamiiForums Tanzania Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS". Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza. Haya sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Loren Japhet anahujumiwa sana, hii ni mara ya tatu sasa

    Hapa bongo ninadiriki kusema hakuna bondia wa kizazi hiki anayehujumiwa wazi wazi kama Loren Japhet. Kwa haraka haraka ninaweza nikakutajia fights tatu alizohujumiwa wazi wazi mpaka mashabiki tukabaki mdomo wazi. Fight ya kwanza aliyohujumiwa bila aibu ni ile fight dhidi ya Muhsin Alkasus...
  18. JamiiForums Tanzania Hii nchi kwa sasa inakosa viongozi wenye maono na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

    Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  20. JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…