hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii si Sawa: Afisa Usafirishaji Wanavyokaba na Kupora Raia hapa Arusha

    Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!. Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vya nyumbani vinauzwa

    Feni la chini mtungi mdgo wa gas empty(orxy)na dish la azam vyote kwa pamoja nahitaji 120,000
  3. JamiiForums Tanzania Hii ATCL tuwape Waarabu wa Dubai waiendeshe. Hela za ndege tununue Meli za Uvuvi. Mtanishukuru baadaye

    Wakuu, Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56. Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi? Tuache kung'ang'ania mambo tusiyo yaweza. Haya mambo tuwaachie Kenya. Kenya Airways imedai kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Hii Kampuni ichunguzwe

    Kampuni ya usafirishaji Mabasi, New force imehusika kwenye ajari nyingi sana. Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha.
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

  6. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wahasibu na wafanyabiashara

    Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini baada ya kufunga hesabu zako ukapata laki tisa lazima ulipe laki moja ili hesabu ifunge, ndo hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla. Kwa muonekano huo wa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada Wapi naweza pata huduma ya VPS hosting

    Wakuu kwema? Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online Please nitashukuru sana
  9. JamiiForums Tanzania Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

    Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya...
  10. JamiiForums Tanzania CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Simba 1-0 Al Ahly Yanga 1-2 Masandawana TP Mazembe 0-0 Petro de Luanda Esperance 2-0 Asec Twende kazi tupia wa kwako…
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kwanini mtaji wako unashindwa kukua

    Habari zenu wadau Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna mengi nimejifunza kipindi naanza biashara nilikuwa nayumbisha sana mtaji mtaji kushindwa kukua Kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada hii ni app gani?

    Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
  14. JamiiForums Tanzania Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Habari za jioni wakuu! Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe! Hivi huu si utumwa? Maana yake nini kwa kizazi cha leo? Mimi yote hayo yakiendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itaanza kutumia hii teknolojia ya kuzuia ajali?

    Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo. Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail). Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mzee Mshume Kiyate akimvisha Mwalimu Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya 1964 Aliyemshika Nyerere mkono kulia ni Mshume Kiyate, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi Uchaguzi wa Rais 1962. https://youtu.be/SiZ7ibE5mPc
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa hii Dunia ni MUNGU, ila shetani kajizolea kijiji chake cha watu wenye nguvu yenye ushawishi

    Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo. Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia...
  18. JamiiForums Tanzania Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Uhamiaji Manyara amejibu hoja Kisomi; ni kweli katika macho ya sheria gari na bendera siyo mali ya CCM; CHADEMA kuweni makini na hii move

    Kilichojibiwa na Idara ya Uhamiaji ndicho kinachoitwa majibu katika macho ya sheria. Si kila bendera ya kijani ni bendera ya CCM na siyo kila bendera ya kijani yenye nembo ya CCM siyo mali ya CCM. Kamishna wa Uhamiaji Manyara amepewa nguvu ya kufanya uchunguzi kwa mijubu wa sheria ya Uhamiaji...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…