King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa.
Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa.
Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona.
Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa?
Unakuta binti kaiva sura...
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao
Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
NI JAKAYA KIKWETE;
Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji.
Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
Habari
Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu
Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote hawajui
Hii ni hatari kwa maendeleo ya taifa lolote lile linalojitambua
Bora Hawa watu wa afya...
Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu.
Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
Siku hizi viongozi wa chama na serikali wamekuja na mtindo wa kuandaa mashindo na challenges mbalimbali za kimifumo, andiko nk
Na lengo la mashindano hayo wao wanasema ni kulenga kutatua changamoto zinazolikabiri taifa letu mfano wa challenges zilizowahi kufanyika ni pamoja na...
Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu.
Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
Ina vitamthilia vya ajabu ajabu, unakuta mara simba mweupe anapaa angani hukuu amseshikilia mkuki na miguu yake,
kama sio utakuta zile za kihindi jamaa wanangaaliana kwa ukali karibia nusu saa , basi wadada unakuta wanafurahi sana.
Kule ulaya ukimfuata Demu ukamuambia unampenda jibu utalipata kabla hata dakika Tano hazijaisha. Akikupenda atakujibu I like you too na mazungumzo yataendelea akiona humvutii atakuambia I'm not interested kwa heshima. Hakuna Ile habari ya ngoja nifikirie ambayo itachukua mwezi mzima. Kwao, muda...
Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake!
Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
Guys
Chadema ilitisha sana kahama pamoja na.mizengwe ya CCM
1. NMB Wakagawa mitungi ya gas bure waaapi.
2. Leseni bure kwa boda boda waapi
3. Asili festival wapiii
Watu walikataa yote hayo wakachagua Chadema.
Nipo nchi moja ya Kiarabu huku Ofisini kuna mfanyakazi mwenzetu toka jana namsikia ananukia papuchi kabisa. nikawa nawaza ni kuwa ametoka ku.... au... nikawa sielewi the whole day jana nilikuwa tu na mawenge kila akija ofisini kwangu mi napoteza network kabisa maana nasikia harufu ya papuchi...
Naomba kujuzwa ,kwanini kesi ipelekwe kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kusikiliza kesi husika ?
Au utaratibu na protocol za kisheria ndio unataka hivyo. Naombeni wataalamu nisaidie majibu.
CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE.
Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable
Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa .
Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia...
Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.
Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli...