hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uuzwaji holela wa vileo unaangamiza nguvu kazi ya taifa kwa kasi, na hii sio Tanzania tuitakayo

    Ili taifa letu la Tanzania lipate maendeleo kwenye nyanja zote lazima likuwe kiuchumi hadi ngazi ya uchumi wa juu.Bidhaa za vileo ni moja ya bidhaa zinazoongoza kwa kukuza pato la taifa kupitia kodi na leseni za biashara na taifa letu linajivunia kwasababu inachangia uchumi wa taifa, lakini kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Nina kijana wa miaka 17 wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah. Shuleni ni average sana...
  4. JamiiForums Tanzania Unakumbuka na kujifunza nini ukipitia Upya hii List of Shame ya Mwembeyanga baada ya miaka 17?

    VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO (KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo . http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110 KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

    Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla...
  6. JamiiForums Tanzania Mikataba hii huwa haivunjiki?

    Mkataba wa waarabu tunaoambiwa aliuingia hayat mwinyi kuhusu ngorongoro mpaka kupelekewa vifo machafuko Kati ya wamasai na jeshi la polis. Mkataba wa dp wold kuhusu bandali za Tanganyika pasipo kugusa za visiwani zanzibar. Mkataba wa muungano Tanganyika na Zanzibar unaleta...
  7. JamiiForums Tanzania Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Hii ndiyo nchi tuiotayo kila siku

    1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi. 2. Elimu Bora: Kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia teknolojia na mbinu za kisasa ili kuandaa vijana kwa soko la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio imani pekee kila jamii duniani inaamini

    Mzuka wanajamvi! Kila jamii duniani inaamini vitu flani hasi ama chanya. Kwa mfano hapa Tanzania kuna watu ukiwapa pesa kwa mkono wa kushoto hawakubali, kujitawadha kwa mkono wa kulia siyo sahihi, kwenda dukani usiku kununua chumvi unatakiwa kuita dawa ya mboga, kufagia usiku siyo sahihi...
  10. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC mnakumbuka hii

    Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahusika wa Sekta ya Elimu muwahurumie watu wa hali ya chini kwa hii michango...

    Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya. Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa hesabu ulitumia karatasi nne. Mitihani mingine ilitumia karatasi mbili. Karatasi zilizo zidi...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa. Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa style ya viongozi wa namna hii, nchi yetu itaendelea kukaa gizani

    FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.! Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa. Unajitahidi usiingilie maswala ya imani na dini za watu, mara unasikia viongozi wa dini wenyewe wanaruhusu mapenzi ya jinsia...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  16. JamiiForums Tanzania Unapoongea na simu kuwa makini na nyakati hii

    Leo sina mambo mengi kabisa yaan,,ni hivi wakati muhimu kabisa wa kujua siri za mzungumzaji upande wa pili wa simu ni pale mnapomaliza mazungumzo na kukata simu. Yaan mda huo kama utaagana na mtu kwenye simu basi kawia kidogo usikate simu mapema yaan hapo utasikia kitu fulani ambacho...
  17. JamiiForums Tanzania All the best guys, see you in June

    Kutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wangu nawatakia kila la kheri na mwezi May. Majukumu kwanza mengine baadaye, c ya!
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  19. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kwenye mahusiano na mapacha mara kwa mara, kitaalamu ipoje hii?

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano ana pacha wake(TWIN) au nikimtongoza mdada ambaye ni pacha anakuwa mwepesi kunikubalia sasa huwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

    Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…