Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

mager6

Senior Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
180
Reaction score
283
Kazi ni kipimo cha utu.

Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza nikiingia kusoma naanzaanzaje, twende kwa mifano
2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ukiingia humu je unakwenda post ya mwisho?

Vipi kuhusu post za katikati hasa zinamuhusu creater wa threat au ndio kuingia popote na kutoka?

Kwangu Mimi naona kuna kasoro hakuna pakuanzia na pa kuunganisha mawazo ya watumiaji.
Huu ni mfano mdogo wa kuanzia.

Mfano mwingine ni kwa wale waandishi wa Hadith na vitabu authos. Bado ukiingia jukwaa la entertainment utakutana na hiki kigongo. Waandishi wamepewa mtihani ngumu kuunganisha muendelezo na ndio hadi imefikia MTU kana singanojr akajiamulia kuunda app yake ya @fasihinet ili tu kazi yake iendee vema.

Twende kwa celebrities ukienda pale kuna watu kama Mh Diamond na wengine wanapaswa kuwa accessed kirahisi. Kuna wale wakina berra wachi your back hata msijisumbue nao. Lkn watu kama Sugu anaostahili heshima, wakina mpina kuna baadae kizazi kitakujq kuhitaji idol wao.

Kwa ufupi interface za JF ziko juu juu huku, huko ndani ni uswazi. Mfano sports Mimi ni Real Madrid nikiingia special group Real, huko ndani changanyikeni. Nahisi hata mkiomba AI watawekea friendliest user interface

Mwisho. Na Asanteni
 
Back
Top Bottom