hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

    Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam. Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

    Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nawekeza milioni 100 baada ya miaka 10 nipewe milioni 300 Yani 200 faida, je hii ni sahihi kama ntaiweka kwenye Biashara faida inakuwaje after 10 yrs

    Ndio wadau wawekezaji nimeona hii fursa je ni positive au negative ? Wataalamu wa biashara na masoko ya hisa njooni
  4. JamiiForums Tanzania Hii Kazi ni ngumu binafsi siwezi kufanya

    1. Kazi yako ni kutii amri za watawala Unaamka asubuhi unamuga mkeo na wanao unaenda kazini Kazi yako ni kuteka na kuuwa Watanganyika wenzako, mtu mweusi kama wewe, tena unamnyonga na kamba akikwambia Fulani nisamehe Bado Nina mke na watoto wadogo lakini wewe unaamua kumwaga damu yake...
  5. JamiiForums Tanzania Nyimbo Za zamani zilikuwa na ujumbe wenye kuelimisha,zitumike kufundishia hawa vijana,mfano hii hapa INACHOMA ya 20%.

    Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA 1. Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii, Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri, Navumilia huenda nitapata kivuli, Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii, Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii, Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii, Bosi...
  6. JamiiForums Tanzania Cover song ya wimbo wa ‘Ova’ by Mbosso

    Huo hapo, by Hassan Mapenzi
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Video: Huu haukuwa uchaguzi bali hii ilikuwa operesheni nyakua madaraka

    Video Courtesy: SK Media Online TV ➡ CCM kwa kutumia vyombo vya dola polisi & TISS na watumishi wa umma i.e, wamesaidiwa kunyakua madaraka mikononi mwa wananchi kwa kilichoitwa "uchaguzi" lakini huu haustahili kuitwa uchaguzi bali "operesheni nyakua madaraka" ➡ Huu haukuwa uchaguzi bali...
  8. JamiiForums Tanzania Hatua hii ikifika unafanyeje?

    Wakongwe mtego kama huu unachomokaje?
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maaluumu wa kupeana hints za hii kazi wanayoenda kufanya interview "Editor II" Taasisi ya elimu (TIE))

    Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job unahitaji kujikita kwenye nini hasa? Common predictable question zinaweza kuwa kama zipi? Hii...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna bora viongozi na si viongozi bora

    Wasalaam, Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5. Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si watanzania. Tangu jana nawapigia ndugu zangu waliopo tigo najibiwa kwamba namba unayopiga haipo...
  11. JamiiForums Tanzania Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

    Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee Yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
  12. JamiiForums Tanzania Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  13. JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TEC, BAKWATA na CCT saidieni kuinusuru Nchi hii.

    Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana ni hatari tupu. Mambo ya ovyo yalifanyika wakati wa uandikishaji, uchukuaji fomu za kugombea, urudishaji fomu, uapishaji mawakala, kabla, wakati na baada ya uchaguzi ni viini macho vitupu. Ndugu zangu viongozi wa Dini, nafikiri sasa ni wakati wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ni mtazamo au?

    Unakuta MTU Fulani Mashuhuri amefariki watu wanahangaika kupost Huko WhatsApp as if marehemu anaona. Taarifa ni Worldwide recognized na wewe una post eti RIP kwani mbona ndugu zenu wakifa hampost kama wakifa watu popular? Mtazamo tu
  16. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye uchumi wa urusi. Tokea hii wiki ianze ruble imeshuka thamani kiasi kwamba benki kuu imezuia ununuzi wa hii currency

  17. M

    JamiiForums Tanzania Hii timu ya Angola ingecheza na Yanga ingeshinda

    F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

    Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Saa 12 asubuhi yamekutwa mabox matatu tayari yamejaa kura. Hii ndio Tanzania.

    https://x.com/godbless_lema/status/1861661004586983644
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…