Ni Hatari Wakuu sikiliza hii Video

Ni Hatari Wakuu sikiliza hii Video

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,825
Reaction score
2,851
Hellow wana JF.

Nimeweka video hapo chini.👇👇


Watu wanamaumivu makali, watu wanauchungu mkubwa, watu wamekata tamaa kabisa, watu wamechanganyikiwa, watu wana vidonda vya moyo visivyo kauka, watu wana msongo wa mawazo, watu wameingiwa na ushangingi wakudumu.

Ila Ninacho hitaji kusema hapa Wanawake/wanaume wazuri bado wapo.

"NDOA SIO JAMBO BAYA"

NDOA inakuwa mbaya kama ukiangukia mikono mwa Mwanaume/mwanamke Shangingi.
 

Attachments

  • happily married.mp4
    3.5 MB
Back
Top Bottom