heslb

  1. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania HESLB wachelesha pesa za kijikimu, Wanafunzi wahaha

    Hiki ndicho kinachotokea Vyuo tofautitofauti hapa nchini hususani Chuo Kikuu Cha Kilimo SOKOINE. Ikumbuke kuwa Takribani wiki tatu zimepita tangu wanafunzi wamemaliza semista ya kwanza ndani ya mwaka wa masomo 2022/2023 na wanafunzi wamerudi likizo fupi toka Ijumaa ya tarehe 03 March 2023, Ila...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi HESLB waliongeza mikopo kimya kimya kwa baadhi ya wanafunzi?

    Wakuu, kwema? Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote. Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ulivyowanyima Usingizi Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Achana na watendaji wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Eklimu ya Juu (HESLB), kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, mwaka 2022 unaweza kuwa mwaka uliokuwa na hekaheka nyingi zilizowatoa jasho watendaji wa bodi hiyo. Moja ya mambo ambayo yaliwapa wakati mgumu watendaji...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umakini unahitajika kufuatilia utendaji wa Serikali yako na Taasisi zake, ujue wewe ni daktari sasa. Ona hili la HESLB

    Kwanza niseme mimi siyo wa kwanza kuwalalamikia hawa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB). Ukiingia ATM uka-command kutoa pesa, ukapewa risti na pesa isitoke. Ukiingia ndani au ukapiga simu pesa yako inarudishwa muda huo huo. Lakini hawa HESLB wanakata wanufaika wa mikopo Elimu ya juu kwa miaka...
  5. Voice of Tanzania

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majibu ya rufaa

    Naam ndugu zangu mliokua mnasubiri majibu ya rufaa HESLB teyari wameshayatoa pitieni sipa akaunti zenu mjionee
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) wanakata zaidi ya deni, ukiwafuata unaambiwa omba kurejeshewa kwenye mtandao na usubiri kwa miezi mitatu

    Makosa wafanye wao kukata zaidi ya deni mnufaika unalodaiwa halafu ukiwafuata wanakupa statement wenyewe inaonyesha kweli umekatwa zaidi. Badala ya kuhakiki deni lako na kukuandika hundi wanakwambia rudi nyumbani na kajisajiri kwenye mfumo udai kurudishiwa makato yaliyozidi. Wanakwambia subiri...
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

    Good Afternoon jamiiforums. Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa? Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/= Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania HESLB yafungua dirisha rufaa za mikopo Elimu ya Juu

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa viwango vya mikopo kulingana na uhitaji wao. Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wanatetea elimu kwa wanyonge au wanataka urefu wa kamba uongezeke?

    Nani Mtetezi Wa kweli Wa yatima na mnyonge kwenye elimu ya Yetu. Anayeweka mfumo Wa electroniki unayohitaji documents Ili yatima apate mkopo. Au anayeanzisha scholarship Kwa jina la Raisi"Samia Scholarships" na kuweka vigezo ambavyo Zaidi ya Asilimia 90 ya wanufaika ni Watoto Wa wenye Uwezo...
  10. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) kumgomea Waziri. Je, huyu Waziri anatosha?

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB. Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania HESLB yakwepa kuhojiwa kuhusu upendeleo wa mikopo

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameionya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akidai inaingilia kazi ya timu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi. Timu hiyo iliundwa Julai 31 mwaka huu, baada ya kuwapo malalamiko mbalimbali...
  12. Isolated

    JamiiForums Tanzania Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Habari za asubuhi, Leo ndio tar 27, kuna mwombaji wa mkopo yoyote yule ambaye amepata update kwenye dirisha la tatu? Kwa ndugu yangu ngoma bado mbichi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

    Kwema watu wa Mungu? Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake. Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada? NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
  14. X

    JamiiForums Tanzania Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Inakuaje wazee? Mwenye experience ya interview za utumishi kada za auditor II pale NAOT na Loan officer II HESLB atuwekee hapa tujiandae.
  16. T

    JamiiForums Tanzania HESLB wanatuibia tuliomaliza marejesho ya mkopo Elimu ya juu. Kwa kuendeleza makato licha ya kumaliza deni. Prof Mkenda Litazame.

    Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara. Ukifika kulalamika wanakupa fomu ujaze na baadae unapewa barua kwenda kwa mwajiri kusitisha...
  17. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania HESLB mbona hamueleweki?

    Leo nilienda ofisi ya HESLB kuchukua barua ya kumaliza mkopo sijui ndio inaitwa liquidation letter (wasomi msaada kama nimekosea)kwani mimi binafsi nilimalizana nao toka 2019 lakini nilichokutana nacho ni hiyo 540,360.67 Nimeomba maelezo huyo dada wa reception hata nilikuwa simuelewi , mara oh...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hii alama inaashiria nini kwenye account ya heslb?

    Habari zenu? Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo. Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mnao fanya maombi ya mkopo kwenye tovuti ya HESLB hili tatizo linasababishwa na nini?

    Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu kwenye tovuti ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nimefika sehemu ya mdhamini, kila nikijaza taarifa za mdhamini na kusave napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo HESLB eneo la 'select applicant category' halifanyi kazi kwenye online form yenu

    Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu Vijana wanashindwa ku select category Watu wa IT rekenisheni
Back
Top Bottom