ni kawaida pale inapotokea system yao inachangamoto ila huchukua si zaidi ya siku moja toka umelipia...Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
View attachment 2320252