heslb

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

    Nimelipia elfu 30 ktk heslb nataka kucreate account nikibonyeza submit form inaload tu nashindwa kuendelea na mchakato hawa bodi. Nimewapigia simu Hawapokei simu zangu nimetuma adi katika instagram katika page yao wapo kimya sijui wanampango gani na mimi naomba msaada wenu
  2. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo(HESLB) kwanini mnawakata Watumishi wapya tofauti na utaratibu?

    Wakuu habari za wakati, Iko hivi, kipindi cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwenye mkataba ulisema kuwa HESLB wataanza kumkata mkopaji baada ya miezi 24 toka tarehe ya kuhitimu kwake mafunzo, iwe ameajiriwa ama amejiajiri. Sasa kinachoshangaza HESLB wameanza kukata pesa kwa vijana...
  3. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Application za mkopo HESLB

    Naomba kufahamishwa kama kuna mtu ameweza kukamilisha ujazaji wa taarifa za maombi ya mkopo elimu ya juu. Takribani wiki sasa Najaribu kumuombea kijana wangu lakini kipengele cha demographic inaload tu, taarifa hazihifadhiwi. Kama umeweza umefanyaje? Msaada tafadhari.
  4. NEGAN

    JamiiForums Tanzania IT wa HESLB hamko serious na kazi

    Hii nchi kila kitu ni cha hovyo. HESLB mmefungua dirisha la kuomba mkopo lakini mpaka muda huu watu bado wanaohangaika kukamilisha vipengele. Mfumo wenu ni mbovu nimelipia control number lakini kila nikitaka ku-create account page ina-load tu tangu asubuhi. Kama mlijua hamjajipanga kwa nini...
  5. JIMMY JORAM

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mawasiliano ya Bodi ya Mkopo (HESLB)

    Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya sasa!!!!
  6. Astro world

    JamiiForums Tanzania Kukwama kwenye kufungua Account ya kuomba mkopo wa elimu ya juu HESLB

    Habarini za kazi wadau! Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
  7. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Habari, Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi? Asante.
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  9. Geofrey P Buchard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  10. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili kumuwezesha mhitimu wa chuo kujiajiri, serikali ikate asilimia 25 ya pesa yake ya kujikimu (boom) na kumlipa baada ya kuhitimu kama mtaji

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno hili likitamkwa na Watu mbalimbali wakiwemo viongozi pamoja na watu maarufu na kulipokea Kwa mtazamo...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa changamoto na ya kuzitatua wakati wa kuomba mkopo chuo kupitia HESLB

    Habari wanaJF Naomba kujua, kuna aliyefanikiwa kuomba mkopo?, Unakutana na changamoto gani na unatatuaje?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sikusoma kwa mkopo, HESLB wananikata pesa

    Mimi sijasoma KWA MKOPO wala sijawah omba MKOPO elimu ya juu#HESLB Nakwatwa pesa na nimeorodheshwa katika ORODHA ya wanufaika,ajabu hawana hata detail zangu za elimu yangu! Nilifika ofisi kwao walinijibu kuwa walichanganya majina, so niingie kwenye mfumo wao wanirefund pesa yangu wasitishe...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania DP World ilipe madeni yote ya wadaiwa wa bodi ya mikopo (HESLB)

    Mnaonaje DP World ikiamrishwa kulipa madeni yote ya wanafunzi wa elimu ya juu wanayodaiwa na bodi ya mikopo? Wakishalipa ndo tukae sasa tuwape terms na conditions zetu kuhusu bandari, then tuwape bandari ya zanzibar kwa miaka 50, wakifanya vizuri tutawapa bandari zetu zote za Zanzibar.
  14. Fredrick96

    JamiiForums Tanzania Mnufaika wa HESLB akidisco anaweza kupata tena mkopo?

    Wadau nahitaji kufahamu je mwanafunzi ambae alipata mkopo heslb akadisc chuo anawezaj kupata mkopo mwingne
  15. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania HESLB ni wababe

    HESLB:Kitengo cha mawasiliano hakijui wajibu wake. Wahitimu wa vyuo vikuu tangu mwaka 2009 ambao sheria iliwataka warejeshe pesa walizotuia kipindi wanasoma shahada zao ni wateja wenu! LINALO SIKITISHA Sasa hivi LOAN BOARD wameanza makati upya pasipo kumjulisha mdau au mteja!!? Hii inaitwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

    Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Wizi Bodi ya Mikopo HESLB

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa milioni kumi, unakuta bodi wamemkata ziada labda 10.6m. Kikawaida hiyo laki 6 inatakiwa irejeshwe kwa...
  18. ryaniza

    JamiiForums Tanzania HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali. Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania HESLB kulipwa deni la milioni 7 na Fred Vunjabei kwa miaka 20 inatafakarisha

    Fred Ngajiro maarufu kama Vunjabei ameonyesha mtandaoni barua ya kumaliza kulipa deni la ufadhili wa masomo ya digrii ya kwanza aliyopewa na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu(HESLB) huku akiwahamiza wengine kufanya hivyo pia. Kama barua hiyo inayosambaa mtandaoni ni ya kweli basi...
  20. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

    Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu. Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo. Na tuliojiajiri tunakumbushwa...
Back
Top Bottom