Sikusoma kwa mkopo, HESLB wananikata pesa

Issak0210

New Member
Jul 5, 2014
1
2
Mimi sijasoma KWA MKOPO wala sijawah omba MKOPO elimu ya juu#HESLB

Nakwatwa pesa na nimeorodheshwa katika ORODHA ya wanufaika,ajabu hawana hata detail zangu za elimu yangu!

Nilifika ofisi kwao walinijibu kuwa walichanganya majina, so niingie kwenye mfumo wao wanirefund pesa yangu wasitishe makato

Ajabu mwezi uliofuata wamekata tena na kuongeza makato zaidi😀

Hivi nipo kwenye mchakato nimefungua kesi!!!kupinga huu upuuzi!
 
Waandikie demand note ya siku 90 ya kusudio la kuwashtaki mahakamani, nakala peleka Takukuru, mwanasheria mkuu wa Serikali, Wakili mkuu wa serikali na kwa DCI.

Ongea na Wakili akuandikie atakuchaji pesa kidogo tu ya shoeshine.

Kuna vitu Bongo bila kuchukuwa hatua watakutia mpaka madole unawachekea tu.
 
Mimi sijasoma KWA MKOPO wala sijawah omba MKOPO elimu ya juu#HESLB

Nakwatwa pesa na nimeorodheshwa katika ORODHA ya wanufaika,ajabu hawana hata detail zangu za elimu yangu!

Nilifika ofisi kwao walinijibu kuwa walichanganya majina, so niingie kwenye mfumo wao wanirefund pesa yangu wasitishe makato

Ajabu mwezi uliofuata wamekata tena na kuongeza makato zaidi

Hivi nipo kwenye mchakato nimefungua kesi!!!kupinga huu upuuzi!
Duh! Pole sana
 
Waandikie demand note ya siku 30 ya kusudio la kuwashtaki mahakamani, nakala peleka Takukuru, mwanasheria mkuu wa Serikali, Wakili mkuu wa serikali na kwa DCI.

Ongea na Wakili akuandikie atakuchaji pesa kidogo tu ya shoeshine.

Kuna vitu Bongo bila kuchukuwa hatua watakutia mpaka madole unawachekea tu.
Kushtaki serikali au taasisi yake Notisi ni siku 90
 
Mimi sijasoma KWA MKOPO wala sijawah omba MKOPO elimu ya juu#HESLB

Nakwatwa pesa na nimeorodheshwa katika ORODHA ya wanufaika,ajabu hawana hata detail zangu za elimu yangu!

Nilifika ofisi kwao walinijibu kuwa walichanganya majina, so niingie kwenye mfumo wao wanirefund pesa yangu wasitishe makato

Ajabu mwezi uliofuata wamekata tena na kuongeza makato zaidi😀

Hivi nipo kwenye mchakato nimefungua kesi!!!kupinga huu upuuzi!
Labda wanataka usaidie wadogo zako, si unajua tena watanzania wote ni ndugu?
 
Waandikie demand note ya siku 30 ya kusudio la kuwashtaki mahakamani, nakala peleka Takukuru, mwanasheria mkuu wa Serikali, Wakili mkuu wa serikali na kwa DCI.

Ongea na Wakili akuandikie atakuchaji pesa kidogo tu ya shoeshine.

Kuna vitu Bongo bila kuchukuwa hatua watakutia mpaka madole unawachekea tu.
Kuna watu wanakua na mambo ya ajabu sana. Kuna wengi wana vilio vya aina hii.
Hivi wameona watanzania hawana utamaduni wa kwenda Mahakamani ndiyo wanatumia mwanya huo kuwanyanyasa poa wao kutowajibika.
Hawa watanzania wenzetu waliokabidhiwa majukumu ya kuhudumia wenzao ni watu wa hovyo sana, hawa wanaweza wakasababisha watu waombe hata hiyo bodi akabidhiwe muwekezaje tu.
 
Cha msingi, awalime kusudio la kuwashtaki na kwa kuwa legal document inaandaliwa na advocate anajuwa vizuri kisheria ni siku 90.
Ni kweli mkuu, ila sio kuwa mawakili wote wanajua hilo takwa la siku 90. Nilikuwa nafanya kazi serikalini, nilishuhudia notisi nyingi zilizoandaliwa na mawakili lakini kwa kukosea muda wa kisheria wa kusudio la kushtaki. Nimeitoa kama angalizo ili alizingatie.
 
Back
Top Bottom