heslb

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

    Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO Jumanne, Agosti 13, 2024 Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Wanaowakilisha Vyuo na Vyuo vikuu Taifa wafanya ziara Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Wajumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa wanaotokana na Vyuo na Vyuo Vikuu Nchini Tanzania leo Wametembelea Bodi ya Mikopo Ya Elimu ya Juu na Kukutana Na Mkurugenzi DR Bill Kiwia. Imeelezwa kuwa lengo la Ziara hiyo ilikuwa ni kukutana na Wataalamu wa bodi na kuona ni namna Gani Wamejipanga...
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania KERO HESLB ina changamoto kwenye mfumo wake wa OLAMS

    Bodi ya mkopo kuna changamoto katika mfumo wake wa maombi ya mkopo(OLAMS) haufunguki kabsa. Sasa sijui watu husika wameshaiona changamoto hii maana muda ni mali na deadline ikifika wanapita mulemule hawakumbuki kuwa changamoto hii imechelewesha wanafunzi kufanya application mapema. Kutokana na...
  6. Bonsipele69

    JamiiForums Tanzania Tunawasaidia wanachuo kukamilisha maombi (applications) ya vitu mbalimbali, karibuni

    Hello good morning guys Leo tuna huduma zifuatazo;- 1. Heslb Loan application 2. Tin no application 3. Ajira portal(ajira za ualimu) 4. Birth and death certificate 5 .University application Karibuni kwa huduma 0711406248
  7. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu

    Samahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo. Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo (OLAMS) education level wameweka...
  8. Fidel CastroTZ

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli matokeo ya Kidato cha 6 - 2024 yatatoka Julai 12 kama wasemavyo HESLB?

    Je Ni kweli kuwa matokeo ya form six 2024 yanatoka 12 July kulingana na picha hiyo hapo chini
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo (HESLB) inatuzungusha kutupa refund tuliolipa madeni tukazidisha kiwango tangu Mwaka 2021

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nilikuwa mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) wakati nikisoma Chuo Kikuu! Baada ya kuhitimu na kufanikiwa kupata kazi, nikaamua kulipa mkopo wote niliokuwa nadaiwa na Bodi ili nifute deni kisha nikaomba kiasi ninachodaiwa. Kilichotokea wakanipa balance...
  10. Bibi Mikopo

    JamiiForums Tanzania Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA?

    Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA? ... kutoka Insta na X ya HESLB Tanzania
  11. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu. Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...
  12. copyright

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) inaangamiza watumishi wa umma

    Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mngetumia nguvu za kuwapangia wanafunzi jinsi ya kutumia boom lao kuhakikisha wanaostahili wanapata mkopo 100% (au kusoma bure) tungewaona wa maana

    Salaam Wakuu, Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na kuwasaidia pesa za kujimu ili nao waweze pata elimu kama wewe kuna aliyewaingilia kwenye matumizi yenu...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

    Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa. Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo kuchelewesha fedha za kujikimu (Boom) kwa wanafunzi

    Tunaomba Mtusemee! Hawa bodi ya mikopo Kuna figisu wanafanya mara ya kwanza walisema tarehe 20 Mei watatoa mikopo, lakini tarehe ishirini ikafika kwa SAUT Mwanza wakasema tuende tukahakiki account zetu za benki. Tukaenda hapakuwa na uhakiki, Ilikuwa ni kusaini makaratasi tu. Juzi wamesema...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Fedha za HESLB kuunganisha na mfumo wa NSSF

    Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
  17. Emanuel T

    JamiiForums Tanzania Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?

    Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
  18. Tyanyi

    JamiiForums Tanzania Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

    Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
  19. the maze

    JamiiForums Tanzania Be our client, you won't regret! Dissertation / Thesis Writing & Editing, Job Applications + so much more!

    Hi! Welcome to our services. We offer the following: ✅ Topic Selection Consultancy; ✅ Writing, Editing and Arrangement of Projects, Field Reports, Research Proposals, Dissertations & Theses ✅ Data Translation /Transcription (e.g. Kiswahili audio to English text or vice-versa) ✅ Data...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Msaada HESLB

    Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00. Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo mwaka wa2. NB: Mimi ni mwajiriwa
Back
Top Bottom