heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea. Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo. Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
  3. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mrisho Ngasa anatamani kuagwa kwa heshima

    Kinara wa magori katika timu ya taifa Mrisho halfan Ngasa ambaye ana magori 25 katika timu ya taifa(taifa stars). amesema anatamani kupewa thamani ya kustaafu soka la kimataifa kutokana na makubwa aliyoyafanya akiwa na timu ya taifa stars ikiwemo kuagwa kwa heshima.
  4. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Kwanini Masoud Kipanya hapewi PhD ya heshima? Napendekeza apewe Udaktari wa sayansi ya jamii. Hii katuni imebeba uhalisia wa jamii yote ya Watanzania

    Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku. Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bashe jiuzulu kulinda heshima yako; wanaokuhujumu wanatumwa na mahasimu wako

    Njombe yametokea matukio mawili ya kujumu wakulima katika eneo la Mbolea. Wasambazaji wa Mbolea badala ya kupeleka Mbolea wanasambaza maelfu ya magunia ya mchanga na vitu vinavyofanana na mchanga. Polisi wanaambiwa wachunguze wanasema sample zinasubiri majibu maana yake pamoja na Waziri...
  6. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kuwa mvivu ni kuwavunjia heshima watu wanaokuheshimu

    Hapo ulipo inawezekana unapitia magumu, kama hauumwi, Kama si kilema usikubali kuwa mvivu, wewe ni graduate, umefukuzwa kazi, hujapata ajira, wewe ni form four, formsix, kila ukijiunga chuo unafeli, kila ukisoma huelewi. Hii isiwe sababu yakukaa bila kufanya lolote. Kesho jumatatu. Fagia...
  7. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mwanamke wako Kukudharau/ Kukushushia Heshima

    Una mwanamke sasa ni miezi kadhaa. Pengine una miaka kadhaa pamoja naye. Lakini kuna vitu anavifanya huelewi hujui ufanye nini. Hujui kama uko peke yako au la. Muda mwingi anakua na jeuri, anakudharau na kukupandishia sauti hadi unatamani umpige. Unajihisi huna uhuru tena ukiwa naye. Hutaki ata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

    Ni mara chache sana kukutana na msomi ukamuuliza habari za Kemet akakujibu kwa ufasaha. Hii inaonesha ni kwa kiasi gani knowledge ya Kemet iliyofichwa hasa hasa kwa waafrika ili kutodhihilisha ukuu wa mtu mweusi katika hii dunia. Waafrika weusi wa Kemet walikuwa wamekwisha gundua kila kitu...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafuru adai heshima ya AICC ilipotea, atairejesha upya

    MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho. Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza...
  10. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Heshima ndogo ya Simba iliyobaki inaenda kumalizikia Super League

    Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league. Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo. Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi jinsi Hersi alivyofanya leo Kwa Mayele na Mashabiki. Mayele anastahili Heshima kubwa sana.

    Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points. Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ndoa humuongezea mtu heshima na kuaminika katika jamii yeyote

    Muasisi wa ndoa kwa binadamu ni Mungu. Alipowaunganisha Adam na Hawa katiba bustani ya edeni. Familia ni msingi wa Taifa lolote kwani kukiwa na familia imara ni rahisi kuwa na jamii imara,dini imara na taifa imara. Familia ni taasisi nyeti na muhimu mno. Kwakua taasisi hii nyeti ni muhimu...
  14. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ndoa humpa hadhi na heshima mwanadamu

    Kumekuwa na Maandiko kadhaa na mijadala kadhaaa kuhusiana na umuhimu wa ndoa na wengine wakisimamia katika kampeni Yao ya Kataa ndoa,ndoa ni utapeli na kadhalika. ETUGRUL BEY nae ameona achangie kidogo katika Jambo hili, nianze Kwa kusema Kwanza wale ambao wanakataa ndoa hawakatai Bila...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda adai Sheikh Alhad Mussa anastahili Udaktari wa Heshima

    Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo. Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Kudharau PhD za heshima ni ulimbukeni, ujivuni, dharau, kebehi na manyanyaso kwa waliopewa

    PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao. Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

    Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV, maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta. Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakishajifungua shukrani hamna. Mambo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msanii chidi Benzi kutunikiwa phd ya heshima katika muziki

    Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Watu wajinga wanapopewa PhD za heshima!

    Suala la PhD (Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu. Kama PhD, a pinnacle of acchieved learning, research na contribution to natural understsnding, linaanza kuwa la kisiasa nchini, basi tumefikia our...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

    Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani. Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Back
Top Bottom