hesabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ndugu tulisoma naye, hayupo kabisa kwenye mitandao ya kijamii

    Wakuu, Hili jambo linawezekana kuonekana kawaida, lakini limenishangaza kidogo. Leo nilikua napitia habari huko mitandaoni, nikapata wasaa wa kuongalia taarifa za baadhi ya jamaa tulio kuwa pamoja kipindi cha nyuma. Kitu kilicho nishangaza ni kuona kuna account moja ya mtu tulikua tunasoma...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  3. JamiiForums Tanzania Namna ya kupiga hesabu ya material kwa uhakika

    Habari wakuu. Nimekua nikiona members humu wakiulizia kuhusu idadi ya material kwa nyumba. Sasa kwa ufupi ukitaka kupiga hesabu kwa uhakika unatakiwa kujua 1. urefu (running meter) wa nyumba (yani ukiikunjua nyumba kama kamba itakua na urefu gani). Hii itakusaidia kupata idadi ya tofali za...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha ni mahesabu na hesabu ni kanuni

    Salaam Ndugu wajenzi wa Taifa napanda kuwasalimia kwa maamkizi mema ya Jamhuri ya muungano kwani ndiyo kitu chenye kutuunganisha kama marafiki,theni napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa jamii foroum kwa hekima ya maarifa na busara tunayopata kwenye jukwaa. Straight to the point,maisha siyo...
  5. JamiiForums Tanzania Hesabu ya dereva wa daladala Baada ya nauli kupanda

    Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ? Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana . Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu unafelije somo la hesabu? Zero brain kabisa wanafunzi wa siku hizi

    JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi...
  7. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu

    Hello, Tunatoa mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu ili kuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Jinsi ya kutumia digital tools kuandaa graphs, diagrams na kupata step by step solution using AI tools. Mawasiliano : 0689917513
  8. JamiiForums Tanzania Ikitokea umepata Mtoto/Watoto kwenye mahusiano yako, Kati yako na Mwenzio nani atawafundisha Hesabu?

    Suala la kuwa Mzazi linakuja na mambo mengi sana, ikiwemo kuwajibika kwa Watoto, Kuwasaidia Kazi za Shule na kila kitu, sasa kwa unavyoona Mahusiano yenu hapo, nani atakuwa msaidizi wa Home Work za Hesabu kwa Watoto/Mtoto wenu? Au wote mtakuwa mnakimbia na kuwambia Watoto wamalizane kila kitu...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lapitisha Muswada wa kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu

    Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu. Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
  10. JamiiForums Tanzania Hesabu za group stage Simba Mara sita Yanga Mara Tano

    1998 Yanga group stage CafCl 2003 Simba group stage CafCl 2016 Yanga group stage CafCC 2018 Yanga group stage CafCC Misimu ya korona 2019 Simba group stage CafCl 2021 Simba group stage CafCl 2021/22 Simba group stage CafCC 2022/23 Yanga group stage CafCC 2022/23 Simba group stage CafCl...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni haki mtoto wa Chekechea au la kwanza kufundishwa hesabu za kukopa?

    Je, ipi ni ngazi sahihi kwa mujibu wa mtaala kwa mtoto kufundishwa hesabu za kutoa kwa mtindo wa kukopa?
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdhibiti wa hesabu za Serikali: Serikali inatumia Bilioni 3.16 za Kenya kulipa madeni kila siku

    "Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya deni. Msimamizi wa Bajeti, Bi. Margaret Nyakango, ambaye alijitokeza mbele ya Kamati ya Bajeti na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuweni makini na Watanzania, wengi wao ni Wanafiki

    Asalaam Aleykum. Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu. Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
  15. JamiiForums Tanzania Wakristo hawahitaji Sensa kujua idadi Yao. Kwa sababu Ukristo wenyewe ni Hesabu

    WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo. Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
  16. JamiiForums Tanzania Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane hesabu kidogo! We need mathematics in our daily life

    Can all the laws of physics be expressed as a set of mathematical equations? Yes, Mambo ya kufikirika :D :D :D :D :D :D :D :D :D Albert Einstein giving a lecture on relativity at a historically black university in 1946. His peers scrutinized him for it and the press ignored it...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Nini walimu wa kiume masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu (hawajipendi)ukilinganisha na wale wa masomo ya Sanaa(Arts)?

    Wadau nimefanya utafiti mdogo Kwa nini walimu wa kiume wanaofundisha masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu kimuonekano ukilinganisha na masomo ya Sanaa?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania 'Sold Out' ya Simba tumepata sh ngapi?

    Siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out). Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia. Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…