Zijue hesabu, jinsi September 7 ilivyomuokoa Lissu na mauti

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,177
2,088
Kwanza kabisa, kila unachoona unachofanya kinanyumbulika katika number. Number hizi tunazoziona kwenye tarehe, kwenye kuhesabu, kwenye kulinganisha. Ukizijua number vyema, zinaweza kukuvusha bahari ya Shamu kwa miguu.

Watu wenye nia Ovu na walimwengu wamekuwa wakiunda matukio bandia huku wakiyalengesha kwenye Number Ili kuyaidhinisha na mfumo. Maana ni msala pale Bwana mkubwa atakapokuja kufunga mahesabu yake afu akute umechanganya Hesabu zake Brother/ Dada ni nomer na nusu.

Hesabu
Tukio la September 11, Wamerekani walitendwa ndivyo sivyo na kikundi cha siri hata sisi Watanzania Septemba 7 tulitendwa isivyostahili. Tizama Number 7 na 9 zote ni tasa ila utofauti wake unaanzia hapa. Kwa kupitia tukio la wamarekani kuna jengo Wtc 7 halikuguswa kabisa na ndege, ndege iliyopangwa kuligonga abiria walipambana wakaidondosha kabla haijafika kuligonga.

Kuchagua Number saba yalikuwa makosa ya kimkakati ni Number iliyokuwa na gundu.
 
Lile tukio la Tundu Lissu ilikuwa ni 'Assassination Plan' iliyofeli. Hakuna kitu kigumu hapa duniani kama kudhulumu haki ya mtu asiye na hatia, hususani kudhulumu haki yake ya kuishi.
 
Watu wanajiuliza magaidi waliingaiaje kwenye ndege bila kukaguliwa? Pia inasemekana Mossad walitoa tahadhari mapema ila CIA wakachukulia poa kuwa hakuna kitu kama hicho kutokea USA, ambapo wafanyakazi wa kiyahudi wao hizo taarifa walizochukua kwa uzito , inasemekana siku hiyo hawakwenda kazini.
 
Kwanza kabisa, kila unachoona unachofanya kinanyumbulika katika number. Number hizi tunazoziona kwenye tarehe, kwenye kuhesabu, kwenye kulinganisha. Ukizijua number vyema, zinaweza kukuvusha bahari ya Shamu kwa miguu.

Watu wenye nia Ovu na walimwengu wamekuwa wakiunda matukio bandia huku wakiyalengesha kwenye Number Ili kuyaidhinisha na mfumo. Maana ni msala pale Bwana mkubwa atakapokuja kufunga mahesabu yake afu akute umechanganya Hesabu zake Brother/ Dada ni nomer na nusu.

Hesabu
Tukio la September 11, Wamerekani walitendwa ndivyo sivyo na kikundi cha siri hata sisi Watanzania Septemba 7 tulitendwa isivyostahili. Tizama Number 7 na 9 zote ni tasa ila utofauti wake unaanzia hapa. Kwa kupitia tukio la wamarekani kuna jengo Wtc 7 halikuguswa kabisa na ndege, ndege iliyopangwa kuligonga abiria walipambana wakaidondosha kabla haijafika kuligonga.

Kuchagua Number saba yalikuwa makosa ya kimkakati ni Number iliyokuwa na gundu.
Namba tisa ni tasa??
Wewe namba kumbe huzijui!!
Rudi darasa la tatu, ukajifunze namba tasa ni nini na ni zipi!
Huzijui hesabu!
 
Back
Top Bottom