Je, ni haki mtoto wa Chekechea au la kwanza kufundishwa hesabu za kukopa?

Inategemeana ila kwa watoto wa siku hiz nafikir inawezekana tofauti na sisi enz zetu.

Mwanangu wa pil yuko clas 2 juz katika kurud toka shule amenishangaza sana.

Ananiambia "baba do you know what is enviroment?"
Akaanza ku define enviroment
Akanieleza components of enviroment ikiwemo living thing and non living thing
Akanieleza what is living thing
What is non living thing
Examples of living and non living things

Anaongea vyote kwa kingereza japo sio straight maana anasoma shule hizi za kawaid tuuu za kulipia sio zile viwango

Honestly wakuu NILIPIGWA NA BUTWAA.
Haya mamabo mimi niliyajua 2004 nikiwa form 1.Ku crame definitions and ku explain and listing.

Ila mbele yangu ni mtoto wa miaka 6 darasa la pil anafanya.

So mkuu nyakati zimebadilika sana.

Watoto wa siku hiz akil zinakua haraka sanaa
 
Kwa mujibu wa mtaala wa ufundishaji wana hesabu zao za kufundishwa kulingana na makuzi yao. Hesabu zao ni za matendo ya hisabati. Kadri wanavyokua na kupanda madarasa hesabu zao hubadilika kutoka mada nyepesi kwenda mada ngumu
 
Inategemeana ila kwa watoto wa siku hiz nafikir inawezekana tofauti na sisi enz zetu.

Mwanangu wa pil yuko clas 2 juz katika kurud toka shule amenishangaza sana.

Ananiambia "baba do you know what is enviroment?"
Akaanza ku define enviroment
Akanieleza components of enviroment ikiwemo living thing and non living thing
Akanieleza what is living thing
What is non living thing
Examples of living and non living things

Anaongea vyote kwa kingereza japo sio straight maana anasoma shule hizi za kawaid tuuu za kulipia sio zile viwango

Honestly wakuu NILIPIGWA NA BUTWAA.
Haya mamabo mimi niliyajua 2004 nikiwa form 1.Ku crame definitions and ku explain and listing.

Ila mbele yangu ni mtoto wa miaka 6 darasa la pil anafanya.

So mkuu nyakati zimebadilika sana.

Watoto wa siku hiz akil zinakua haraka sanaa
Anajuwa maana zake?
 
Ndio ukweli mama na baba wanaishi kwa mikopo. Ni bora nae ajue hesabu za kukopa mapema tu. Maisha n vita.
 
Back
Top Bottom