hesabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimepiga hesabu na zimenishangaza sana, income chini ya laki 5 kwa siku nitadhalilika, ni chuma ulete au ni nini?

    Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini. Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini? Au ni chuma ulete hii, mbona naishi life style ya kawaida tu?
  2. kesho kutwa

    JamiiForums Tanzania Nimenunua pikipiki sijui kuendesha vip hawa vijana hawatanipiga hesabu za siku?

    Wale wazoefu naomba msaada jinsi ya kuweza kuepuka kuletewa hesabu finyu. Nimewza niwe najaza oil full tank then yy anipe hesabu yote kisha nimlipe mwisho wa mwezi. Naomba ushauri, pia maeneo gani yana kua na wateja wa kutosha ili dogo atege hayo maeneo. Nipo iringa.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni tupige hesabu, Rais anateua watu wangapi nchini

    Baadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k. Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza majaji wa mahakama - ??? wakuu wa mikoa - 26 makatibu tawala wa mikoa - 26 wakuu wa wilaya - 139 makatibu tawala wa wilaya - 139 Wakurugenzi watendaji wa...
  4. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba na Yanga hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani kwa wanachama wao kuondoa harufu na mizozo ya ulaji na upigaji?

    Hizi timu mbili zinazoitwa za wanachama kwa nini uongozi wao hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani? Ukirejea haya malalamiko ya huyu anayeitwa mzee wa Yanga, Magoma na Hamis Kigwangala wa Simba inaonyesha kuna ujanja mkubwa sana katika hizi timu. Hii yote ingeweza kuwekwa sawa kama masuala...
  6. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya biashara! Kwa upande mwingine, maandamano ya majirani zetu, ni sahihi na siyo haya ya wafanyabiashara wa...
  7. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari wana jamii Naomba gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  8. Iddizahoro

    JamiiForums Tanzania Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
  9. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

    Mwaka 2017 nilinunua pagara huko Mbeya! Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu. Cost nilizotumia ni 4.5 M. Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa Mbeya demand ya nyumba ndogo mno tofauti na mikoa kama Dodoma Mwanza au Dar. Kifupi hailipi. Nawaza ningeweka UTT leo ningekuwa...
  10. Life Code

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Habari za Majukumu wakubwa kwa wadogo. Nakuja kuomba kwa dhati kabisa kwa mtu menye Bajaji / Pikipiki na unaitaji Dreva makini, Mwerevu na muaminifu Mimi Nina sifa na vigezo, Nina uzoefu wa miaka miwili barabarani, nina Leseni ya udreva iliyo ndani ya muda. Nafanya kazi kwa uaminifu...
  11. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Gari (Noah) ya kupeleka hesabu kwa wiki inahitajika

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa Saidi natokea maeneo ya pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi huku wilaya ya Kisarawe. Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Leo njoeni wa Form 6 hapa tusolve hili.

    Here are 25 math questions suitable for a Form 6 level: 1. Solve for \( x \): \( 2x + 3 = 11 \). 2. What is the area of a rectangle with length 8 cm and width 5 cm? 3. Simplify: \( \frac{12}{16} \). 4. Find the value of \( y \) in the equation \( 3y - 4 = 2y + 5 \). 5. What is the perimeter of...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Habari, Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH. Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima. Namba yangu 0617146950
  14. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  15. bahati93

    JamiiForums Tanzania Zijue hesabu, jinsi September 7 ilivyomuokoa Lissu na mauti

    Kwanza kabisa, kila unachoona unachofanya kinanyumbulika katika number. Number hizi tunazoziona kwenye tarehe, kwenye kuhesabu, kwenye kulinganisha. Ukizijua number vyema, zinaweza kukuvusha bahari ya Shamu kwa miguu. Watu wenye nia Ovu na walimwengu wamekuwa wakiunda matukio bandia huku...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kwa Waislamu kuwa na hesabu hususa ya siku za kufunga badala ya kutegemea kuonekana au kutoonekana kwa mwezi?

    Ni kitu ambacho siku zote sijakielewa, na labda ndugu zangu Waislamu watanisaidia hapa. Kufunga najua ni suala la kujipa muda wa kutafakari matendo na maisha yako na kuboresha uhusiano wako na Mwenyezi Mungu. Sasa sielewi kwa nini jambo hili lihusianishwe na kuonekana au kutoonekana kwa mwezi...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania CCM iweke hadharani ukaguzi wa hesabu katika ziara za Makonda nchi nzima, ubadhirifu usifumbiwe macho!

    Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
  18. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo. Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kidato cha 6 waruhusiwe kufundisha somo la Hisabati

    Nchi yetu imekuwa na nia njema sana ya kuendeleza Vijana katika fani mbalimbali hasa za ufundi na ujasiriamali. Kimsingi vijana wenye uelewa wa somo la hesabu wanaweza kufanya vizuri sana katika fani hizo za ufundi na ujasiriamali. Hata hivyo kutokana na upungufu/ ukosefu wa waalimu wa hesabu...
Back
Top Bottom