hesabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa piki piki ya hesabu au pesa ya kununulia piki piki

    Nakuja kwenu wafanyabiashara na watu wenye uwezo wa kunisaidia shida yangu ya Mkopo wa kupata PikiPiki kwa ajili ya kufanyia DELIVERY kwenye biashara zangu au Kiasi cha Pesa chenye thamani ya piki piki husika ili niende nunua mwenyewe Piki Piki hiyo MPYA dukani. Piki Piki ninayohitaji ni...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje? Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Hesabu za Mlevi

    Mhindi mmoja unauzwa sokoni shilingi mia mbili kwa bei ya jumla. Mhindi huo ukiuchoma, unatoa vipande vitano vya mia mbilimbili. Hapo faida ni mia nane (800) Tuseme gharama za uzalishaji ni 300, hivyo 500 ni faida. Kwa siku makadirio ya chini ni kuuza mahindi 100, hivyo unapata faida ya 500...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

    Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/= Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/= Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/= Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/= Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/= Swali ni je, mbona huna gari? ---------------------------------------------- Kauli za watu walioshiba makande na...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini waliofanikiwa au matajiri wanakwambia walipofikia ni hesabu magazijuto

    Katika mambo ambayo huwa sipendi na naelewa sana usiende kuomba msaada kwa nini yeye amefikia hapa. Ni wachache sana watakao kupa ufikie labda sio biashara zinazo fanana. Miaka ya nyuma sana kuna jamaa alikuwa anatuambia kwenda china lazima uwe na milioni 50 ila tulipokuja kugundua sababu...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) kwenye mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji

    Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200...
  8. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta wana jamii swali la hesabu

    Can you prove that 4+2=5+1 is true without solving both sides? Explain.
  9. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha "NO REFORM,NO ELECTION" ndiyo kipindi sahihi ambacho Makonda angepaswa kuwa mwenezi wa chama

    Kipindi hiki cha "NO REFORM,NO ELECTION" ndiyo kipindi sahihi ambacho Makonda angepaswa kuwa mwenezi wa chama. Kwani yale mambo aliyokuwa anayafanya Makonda kama Mwenezi wa chama kipindi kile angeyafanya sasa hivi yangesaidia sana kufubaza mkakati wa "NO REFORM,NO ELECTION". Kuwafanya wananchi...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa hesabu na sayansi tupeni ufafanuzi wa jambo hili

  11. W

    JamiiForums Tanzania Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hesabu za Ibenge zimemtokea puani

    Baada ya kocha wa Al Hilal Florent Ibenge kusemekana kupokea mlungula kutokea kwa uto ili kuwapa uto uhai na matumaini ya kufuzu kwenda robo fainali, aliangaliaaa misimamo ya makundi mengine akawa na maamuzi ya kufanya. Kwanza ni maamuzi ya kuonyesha kwamba timu imeshuka kiwango ili kuaminisha...
  13. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye hesabu za desimali (decimal numbers), baada ya nukta tunatamka tarakimu moja baada ya nyingine au kwa pamoja kama vile nzima?

    Nimesikia wasomi wawili wa ngazi ya PhD wakitofautiana katika kutaja desimali (decimal notation). Mmoja ana PhD ya kusomea na mwingine ya heshima. Alianza yule mwenye PhD ya kusomea na kusema kwa majigambo na kujiamini kuwa mteuliwa amepata asilimia themanini na tisa nukta arobaini na mbili...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kati yenu na Baleke mnayaficha Kwanza mpaka Hesabu zenu za Vikokotoo (Calculators) zitimie Kesho au?

    Kudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia Na sasa kawaambieni tena kwa Amri kuwa tekelezeni yaliyomo katika Mkataba wenu nae ndani ya Siku Tano (5) zijazo na...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hesabu kufuzu: Nashauri wana Yanga watembee na Scientific Calculator

    Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Touch, Release, Attack. Kuna watu washaanza kumpigia hesabu kocha wao kumuangushia jumba bovu maana goli moja moja kwa mbinde inawatia wasi wasi!

    Huyu Ramovich ni kama anamchongea kocha mwenzake aliyetumia mechi 15 kufunga goli 31 wakati yeye mgeni katumia mechi 7 na kufunga goli 21. Gusa achia twende kwao imekuwa shubiri upande wa pili maana wanaona kama timu yao inatumia nguvu kubwa kupata ushindi kwa mbinde, wakati wananchi wanatoa...
  17. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Kujenga Rahisi ukipiga hesabu za kwenye makaratasi ingia Site sasa Ndio utajua hujui hapo

  18. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa hesabu, Kuna magari mangapi yaliyosajiliwa Plate Number A mpaka E?

    Kuanzia Plate number AAA mpaka E ya mwisho, kuna magari mangapi Hint: Kuna herufi za platenumber huwa zinarukwa
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania TRA na Wizara ya Fedha inatakiwa kupiga hesabu kwa maslahi ya taifa

    Cc: TRA Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba Kuchaji kodi ya Dungu 15M na magari 50 000 tu yakaingia kwa mwaka inapata Shs 750,000,000,000// bilioni 750 tu Wakati kama itapunguza kodi na kuwa shs 5M kila Dungu 4×4 used na kwa kufanya hivyo sasa yakaingia mengi milioni moja kila mwaka na kusambaa...
Back
Top Bottom