Maisha ni mahesabu na hesabu ni kanuni

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
Salaam

Ndugu wajenzi wa Taifa napanda kuwasalimia kwa maamkizi mema ya Jamhuri ya muungano kwani ndiyo kitu chenye kutuunganisha kama marafiki,theni napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa jamii foroum kwa hekima ya maarifa na busara tunayopata kwenye jukwaa.

Straight to the point,maisha siyo lele mama hayaihitaji mtu muoga na pia asiyekuwa mwenye mahesabu na kutofata kanuni za kuishi hasa katika dunia ya sasa ambayo imetengezwa kwa misingi ya kibepari na maana halisi ya ubepari ni kanuni (mahesabu) ya kufikia self interest.

Ila wengi wetu tunaishi kwenye zama za ujamaa wakati dunia ipo kwenye muda wa ubepari ndiyo maana tunalaumu dunia imekuwa katili sana kwetu ila ukweli ni kwamba mfumo wa mazoea(ujamaa na umwinyi) umekwishapitwa na wakati hivyo ni zamu ya kuishi kisayansi (kanuni) katika kila jambo tu tunalifanya na matokeo ndiyo yatakayokubainishia ulilofanya ni sasa? (means justify ends).

Mwisho namalizia kusema kwamba maisha ili uyapatie unahitaji kuishi kwa kanuni na misingi ya kanuni tayari maphilosophers wameitoa katika maandiko yao.

Basi kama unaitaka mali utaipata Shambani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom