Nimepoteza kwa round ya pili, thanks to wanaonisumbua kwa uchawi. Nipo Nairobi sasa hivi. All my secrets can be known by the people who are using majini kunisumbua. Nikipata kazi, wanayauliza majini ni wapi nilikua, wanaenda hapo wanaturn that person against me. I have a thread here nilikua...