#COVID19 President Samia hires Tony Blair to help in the fight against COVID-19, and rebuild the country's reputation

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,219
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report

============

Samia Suluhu Tony Blair.jpg

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair amefanya ziara rasmi mara mbili nchini Tanzania tangu Rais Samia achukue madaraka ya Urais mwezi Machi mwaka huu baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, John Magufuli.

Maafisa wa Serikali wamesema Taasisi ya Tony Blair ya 'Global Change' imeajiriwa na Rais Samia kusimamia miradi miwili muhimu katika utawala wake; mapambano dhidi ya Covid-19 na kujenga taswira ya Tanzania kimataifa.

Blair amesema taasisi yake ina jukumu la kufanikisha majaribio na usambazaji wa chanjo, pia inaweza kuisaidia Tanzania kuwapata wazalishaji wakubwa wa chanjo.
 
Kwa ujumla ni wajinga pekee yao ambao wanaamini nchi ilikuwa inapelekwa vizuri chini ya utawala wa marehemu. Ukweli tulikuwa tumedumbukia shimoni, na alikuwa anazidi kutudidimiza.

Makadirio yangu ilikuwa ingechukua si chini ya miaka 15 kuondoa athari mbaya alizosababidha marehemu kwa Taifa. Lakini kwa msaada wa taasisi kama hii ya Blair huenda ikachukua muda mfupi zaidi.

Samia hakikisha tunapata KATIBA MPYA ili kuzuia kabisa uwezekano wa kuwa na kiongozi wa namna ya marehemu siku zijazo. Shida unayoipitia wewe sasa usikubali na mwingine aje aipitie siku za mbeleni.
 
Well said Mkuu
 
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report
In the midst of all the efforts on damage control for the country we should also 1. Demand for a public apology to the nation from current president of Tanzania Samia and 2. Take posthumous legal action against the immediate former president for all the ills, damage and shame that he occasioned on this country b4 he passed on unceremoniously after 5 and half years in office! Accountability is essential for national reconciliation, reform and reconstruction!
 
This is taking too long for Tanzanians, it's not Tanzanians fault that they were not vaccinated in time .

When other countries were busy vaccinating their people , in Tanzania it was time for herbal concoction now instead of opening up the economy they're punishing Tanzanians.
 
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor, John Magufuli.

Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.

In July, Blair paid his first courtesy call to Tanzania where he and President Samia discussed how to combat the Covid-19 pandemic.

Blair said his institute is responsible for facilitating the testing and distribution of vaccines, and may help Tanzania to access top vaccine producers.

Credits: The Africa Report
Uzuri historia huwa inajirudia...mark my words
 
Back
Top Bottom