Hii ishanitokea kwa wadada watatu tofauti, mdada anakutafta yeye mwenyewe, anakuja yeye mwenyewe, sio kwamba umemfata, na bando lake la simu anatumia kukupigia, tena mtu hauko sehem ya biashara, uko zako gheto, anakuomba muongee dili halafu anakupa ofa ya tsh laki 3, laki 5 au laki 2 kwenye dili...