Kutengeneza hela kwa scenes za mapenzi kwa wapenzi au wanandoa

konda msafi

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,666
8,501
Unajua kuna fursa nzuri sana ya kupiga hela nyingi sana na kukufanya kuwa famous kwa muda mfupi kama nchi yetu ingekuwa haina mambo ya kishamba. Nayaita mambo ya kishamba kwa sababu dunia imebadirika sana lakini nchi yetu haitaki kubadirika. Kuna vitu kwa nchi zingine ni vya kawaida sana lakini hapa vinaonekana ni taboo. Yaani kuna vitu ni sehemu ya maisha na vinafanyika, na hata hao wanaovizuia visifanyike wanavifanya lakini ku-acknowledge kuwa wakati ni ukuta ukipingana nao utaumia mwenyewe hawataki.

Kuna wazo moja limeniijia kichwani na ni wazo zuri sana la kutengeneza hela na yeyote atakayeweza kuliweka in practice lazima aogelee hela mpaka azichoke.

Kuna series moja kutoka Marekani inaitwa Soul food kama sijakosea jina lake. Ilikuwa inarushwa na kituo kimoja cha television cha etv cha South africa. Hiyo series inaonyesha real life ya wapenzi au wanandoa. Unajua watu wakiigiza au konyesha real life huwa wanavutia sana, huwezi kuchoka kuwatizama. Nadhani wahusika wa hiyo series walikuwa wapenzi halisi au wanandoa halisi, na kama hawakuwa wapenzi au wanandoa halisi basi walidhamiria kuonyesha real life ya mahusiano.

Nafikiria kuanzisha kitu cha namna hiyo hapa Tanzania ila kwa sababu ya ushamba wa nchi yetu series yangu haitarushwa hewani na kituo chochote cha TV hapa nchini maana kutakuwa na scenes za kupigana miti live japo haitakuwa too explicit. Yaani ikifikia scene ya tendo la ndoa inaonekana kitendo kinafanyika na kunafichwa baadhi ya sehemu muhimu.

Kwa mfano inapofikia labda tupo sebleni na mke wangu na watoto tunaangalia tv halafu nikahisi nataka unyumba naanza kutoa ishara kwa wife na ishara zote zinaonyeshwa kwenye tv. Ile labda nambeba kumpeleka chumbani inaonyeshwa, ile naanza kumkiss lile deep kiss inaonyeshwa, ile naanza kumshikashika kwenye maungo na kuingiza mikono yangu kwenye maungo yake inaonyeshwa, ile kalegea na yeye anaanza kuonyesha ufundi wake wa kunigusa sehemu mbalimbali za mwili wangu inaonyeshwa, ile labda namuweka kitandani na kuendelea kumlambalamba sehemu za wazi kama vile shingoni, masikioni, miguuni n.k inaonyeshwa.

Tukianza tendo lenyewe labda ndio pasionyeshwe au panaweza kuonyeshwa lakini bila kuonyesha sehemu za siri yaani panaweza kuonyeshwa kuanzia mgongoni kwenda juu ili watazamaji waone facial expression kwa sekunde chache then wanakata. Yaani waone jinsi sura ya mwanamke inavyobadirika akiwa anafanya tendo la ndoa.

Labda wife anaweza akawa anapika halafu mie nahisi kuiihitaji hiyo kitu basi namfuata huko huko jikoni nakuanza kumchombeza, vyote hivi vinaonyeshwa.

Hii series inaweza kuwa na mambo mengi ndani yake. Inaweza kuhusisha mambo ya biashara, kule kwenye biashara wakati wa mchana kunaonyeshwa ninavyopambana, kunakuwa na mambo ya kazi yaani mmoja wa wanandoa anaweza akawa mfanyakazi, huko kazini kwakwe kukawa kunaonyeshwa. Pia inaweza kuhusisha michepuko, maana mwanaume hawezi kukosa michepuko, kwa hiyo kama kuna drama za michepuko zinazoyumbisha ndoa ya main character kunakuwa na scene zake pia.

Labda leo nimechelewa kurudi kazini nilikuwa kwa mchepuko kunaonyeshwa, mchepuko kapiga simu usiku wife kapokea simu kunazuka ugomvi wa kufa mtu kunaonyeshwa, kifupi uhalisia wa maisha ya kuwa na mchepuko kunaonyeshwa. Kama mchepuko ni mzuri kumzidi wife na hiyo labda ndio sababu ya mume kuchepuka nako kutaonyeshwa ili kuwafanya watazamaji waendelee kufuatilia kuona mwisho wa hii familia ni nini.

Kama labda wife ni mzuri kumzidi mchepuko nako itaonekana, na watazamaji watabaki na waswali kichwani kwa nini mume anachepuka ilihali mkewe ni mrembo kumzidi mchepuko. Kifupi inakuwa ni series yenye vimbwaga vyenye uhalisia na sio maigizo kama ya bongo movie.

Hii series inaweza ku-involve familia kama tatu zaidi yangu. Kwa hiyo nitatafuta watu watatu wanaohitaji wawe sehemu ya hii series ili kuwe na vionjo tofauti tofauti, si unajua kila familia ina raha na changamoto zake za kimapenzi na za kimaisha. Kwa hiyo watazamaji watakuwa wanapelekwa kwenye familia za watu tofautitofauti. Huko pia watakuwa wanakutana na real life la mapenzi ya family Y, X and Z. Huko nako full mikasi na drama nyingine za mahusiano.

Series kama hii ikianzishwa nina uhakika itapata watazamaji wengi sana na wahusika watapiga hela sana. Ila wake zetu wa kibongo hawawezi kukubali, atakuambia hawezi kufanya hiyo reality show kwa hiyo ukinzani utaanzia kwa wahusika wenyewe.
 
Kwa hiyo hapa "motive" behind ni kupiga hela. Kizazi chetu hiki!!! Zama zimebadilika ndio ila kuna mambo yanapaswa kutobadilika kwa sababu ni principles za maisha. Kuna mambo yanapaswa kubaki kifanyika sirini, hasa yanayohusu faragha za chumbani. Hakuna haja airing them up.

Si kweli kwamba kwenye maisha michepuko ni lazima, kuna watu hawan kabisa habari na micheko and stay faithful to their spouses.

Ukikaa sana kwenye choo kinachonuka hufikia hatua unazoea na kuona ile harufu ni hali ya kawaida, ndo kinachotokea kwenye jamii yetu leo. Mambo maovu yanapata sana airtime kiasi inafikia hatua tunaona ndo maisha ya kawaida. Mbaya sana.
 
Kwa hiyo hapa "motive" behind ni kupiga hela. Kizazi chetu hiki!!! Zama zimebadilika ndio ila kuna mambo yanapaswa kutobadilika kwa sababu ni principles za maisha. Kuna mambo yanapaswa kubaki kifanyika sirini, hasa yanayohusu faragha za chumbani. Hakuna haja airing them up.

Si kweli kwamba kwenye maisha michepuko ni lazima, kuna watu hawan kabisa habari na micheko and stay faithful to their spouses.

Ukikaa sana kwenye choo kinachonuka hufikia hatua unazoea na kuona ile harufu ni hali ya kawaida, ndo kinachotokea kwenye jamii yetu leo. Mambo maovu yanapata sana airtime kiasi inafikia hatua tunaona ndo maisha ya kawaida. Mbaya sana.
Motive inaweza kuwa hela of course ila kuna kuwa na scenes tofautitofauti. Kuna muda wa hustle za mchana kama kazini unavyopambana. Kuna issue za kijamii kama labda get together party.
 
Mkuu hiyo series itaisha lini au mpaka wewe ufe ndio uhalisia utaisha, isije ukatuletea isidingo ya kibongo.
Series inaweza kuisha ndani let's say mwaka mmoja ila watazamaji watakuwa wanatoa maoni. Kama watataka iendelee basi muda unaweza kuongezwa.
 
Mkuu kwakuwa unataka kuwa Rais miaka kadhaa ijayo mada zitakazokushusha au kukushushia heshima achana nazo

Zinaweza kuwa fimbo ya kukuchapia toka kwa wapinzan wako mkuu hasa mm ambaye natarajia kutangaza Nia miaka kadhaa ijayo
 
Kwa sababu umeweka picha ya Denzel Washington ndio unasema ninachokiongea sikijui? Hebu ongea basi wewe kile ambacho sikijui.

Soul food ni series iliyokuwa inaigizwa
Fiction..

Wewe inaongelea 'reality TV show '.
Ambazo kama kweli ni reality huwezi jua nini kitatokea mbele .....

Sio lazima ziwepo hizo scene kwenye reality TV Kwa sababu sio fiction wala maigizo..

Kingine unajua jinsi series zinavyoingiza hela?
Aliekuambia sex scenes zinaingiza hela sana nani?
 
Mkuu kwakuwa unataka kuwa Rais miaka kadhaa ijayo mada zitakazokushusha au kukushushia heshima achana nazo

Zinaweza kuwa fimbo ya kukuchapia toka kwa wapinzan wako mkuu hasa mm ambaye natarajia kutangaza Nia miaka kadhaa ijayo
Hahahaha mkuu. Mimi nawajua watanzania wanapenda nini hivyo nitakushinda kwa kishindo. Watanzania wa sasa ni waelewa sana, halafu mambo ya chumbani ndio wanayapenda maana ndio yanawaondolea stress. Na moja ya sera zangu ni uhuru wa mavazi. Wadada wanapokuwa kwenye vimini na jeans huwa wanatokelezea sana na huwa ni pambo la sehemu anayopita. So ukimzomea mdada aliyevaa nguo fupi utaitambua serikali.
 
We kweli kichwa maji,hivi mark zuckerberg wakati anaanzisha facebook unafikiri hivi vitu alikuwa havijui?Vipi kuhusu Tesla,vipi kuhusu Alibaba,vipi kuhusu Jeff bezos,au fifty cent na Akon,hawa watu wanaishi USA,kwenye ambako hayo madudu uliyoyaeleza yanafanyika, Mbona hawakujiwekeza huko?kama wao hawakufsnya hivyo,Tena wanaishi US,sasa wewe ni nani wakututusi kwamba sie washamba hatutaweza kuelewa hayo mambo,maana wewe ni mzungu mweusi!

Kama unapesa nenda kafanyie SA,au Nigeria,harafu uje uwekeze bongo kwenye biashara ambazo zinakubarika kwa sie"washamba"
Kama umepata exposure,na Cha Kwanza kufikiria Ili upige hela ni porno?basi wewe kichwa yako imejaa maji.
 
Back
Top Bottom