Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma
Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema
Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system .
TAhadhari ni muhimu
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.
Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.
Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela M-Pesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua
Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
Kati ya Maeneo ya kutizama sasa ni Benki Kuu, Benki za Biashara na Wizara ya Fedha.
Naomba Jeshi letu mzuie utoroshwaji na uchotwaji wa fedha zozote zile kwenye hizo Taasisi
Msisahau kuwakamata na kuwaweka kizuizini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wake na Makamishna wote.
Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja.
Utagundua mtu anakutumia DM au WhatsApp baada ya miezi kadhaa bila mawasiliano, mazungumzo yanaanza kwa “bro...
Haya mambo ni kufa kufaana!
Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa!
Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe)
Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau!
Wote hawawezi...
UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi
Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka
Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA
_
Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo.
"Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
Habarini,
Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
Habari wanajukwaa.
Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas.
Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha...
Kama Enzo Ferrari akifufuka leo, atalia kilio cha mbwa. Ferrari ni maarufu kwa v12 ila sasa it’s officially, wanakuja full EV.
Jana, Ferrari wametangaza power terrain, battery na specs za EV yao ya kwanza wanayoiita “Ferrari Elettrica“!
Itakuja na jumla ya motors nne, mbili mbele na mbili...
Na mimi namuomba Mwenyenzi Mungu amlinda Dkt Samia aingie kwenye uongozi wa miaka yake mitano. Na ukisikia kelele zinazopingwa hizo ni ule wivu wa kuona mwanamke anaweza?
Wanampa maneno ya kumkatisha tamaa ili akasirike au asuse, na wengi pia wanatamani kuichafua Tanzania yetu huko duniani ili...
Sisi wanafunzi tulisoma Bsc in Clinical nutrition & Diabetics tunaomba serikali pamoja na baraza la Madaktri (MCT) wakae na kupitia muundo wetu wa Mishahara haiwezekani nisome miaka 4 alafu internship nilipwe 600,000/= kiwango hiki cha malipo kinatokana na nini?
Ikiwa wenzetu wanao soma Bsc in...
Hapo Zamani wakati Wagerumani(German East Africa) Walipokuja TANGANYIKA ambayo sasa ni Nchi ya Tanzania Walifanya Biashara Kutumia Sarafu ya HELLER
-1904 Sarafu ya Shaba yaani Bronze Hela 1/2 na Hela 1 ilitengenezwa.
-1908 Hela 5 ya Shaba na Hela iliyo na Tundu Katikati ya madini ya...
Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi.
Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.