Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,815
- 10,716
Kwema ndugu zangu Watanzania? Leo sina mengi zaidi ya kuwapa list yangu hapa ya Viongozi waliopiga hela nyingi kwa mwaka huu. Najua wote hapa mna akili timamu sitawaambia wamepiga vipi hela ila najua kwa kufungua akili zenu mtajiongeza.
1- January Makamba: Waziri wa Nishati baada ya kusoteshwa sana na Hayati Magufuli jamaa amerudi tena kwenye usukani na kauli mbiu ni "kulamba asali".
2-Nape Nnauye: Baada ya kusoteshwa na Hayati Magufuli jamaa karudi kwenye usukani raundi hii najua hajafanya makosa hela zinaingia kwenye akaunti huku dili zikiwa nyingi kutokana na serikali kutokua na meno ya kung'ata dili za mawaziri.
3-Mwingulu Nchemba: Napenda kumwita James Bond(007) toka Iramba hadi kunukia hela hakika jamaa akikaa anahisi kama akaunti zake za benk zinapasuka au kutapika hela nyingi dili kibao anakula na vipofu waliosinzia ana timu tayari huku malori makubwa yakiwa njiani na mizigo hali kadhalika viwanja na majumba kibao Mungu akupe nini mdau wa Yanga na tajiri wa Singida?
4-Bashe: Kilimo, kitambi hana ila soon kitakuja hela nyingi mishe mishe kibao ruzuku za mbolea,pembejeo fedha za scheme za umwagiliaji. Allah akupe nini hakika mwaka huu ni wa mavuno na bado utaendelea kuvuna ni muda wa wewe kuipanua Nzega hela ishakukubali usiwekeze Dar tu wekeza na Nzega wale matunda yako. 5-Ridhiwani Kikwete-Pesa kitambo sasa hivi anapanua wigo wa kuzifanya ziwe maradufu. Kutoka kutingishiwa ubavu na Makonda ishu ya madawa ya kulevya hadi kupata Unaibu Waziri mambo yapo "smooth" sasa ni kula na kusaza vipofu wamelala hamna wa kuzuia mishe mishe ndio nchi imerudi kama mwanzo ulaji tena.

Last edited: