hela

  1. S

    JamiiForums Tanzania CAG REPORT, upotevu wa hela za Serikali

    Naomba niende mbali zaidi kuwa niwe Whistle Blower katika baadhi ya sehemu kulikopotea/kufujwa hela za umma. Rais wetu ana nia nzuri zana anapofanya teuzi mbalimbali ila wengi wanamwangusha kwani kutokana na kibano walichopewa kipindi cha Jiwe sasa wanataka wavute fasta kwa urefu wa kamba zao...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
  3. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania BASATA mnakula hela za wasanii bure, hakuna mnachokifanya

    Baraza la sanaa Tanzania sijaona kazi yenu kama madudu ndo haya mnamefeli. Jaribu kujipanga upya. Diamondplatnumz ,alikataa kushiriki tuzo zenu afu mkampa tuzo ya heshima😁 mko sawa na utendaji kazi wenu kweli. Umeandaa Tuzo za (TMA) ila kinachoendelea mnakijua nyie sijui mmelogwa au nini...
  4. Killa Cam

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela ikusaidie uzeeni

    Tafuta hela iwe mlizi wako usitafute hela kwa kupata wanawake wazuri. Ukiwa na hela ina kupatia heshima kwenye familia na jamii. Ukiwa na hela ukiumwa inakuwa rahisi kwako kupata matibabu mazuri. Tafuta hela ikupe mke mwema sio mke mzuri, unaweza kuwa na mke mzuri wa sura na umbo lakini akawa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

    Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka. Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
  6. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Tumjuze Rais Samia njia wanazotumia wateule kuiba hela za Umma

    Great thinkers, Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali. Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

    Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20! Nikamwambia...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nashauri uanzishwe mtandao wa simu wa kupiga na kupokea tu pamoja na sms. Watapiga hela mpaka wazikimbie

    Salamu. Kwanza watawahamisha mazima wateja wote kutoka mitandao mingine na kuingia kwao kwa sababu watakuwa na vifurushi vyenye gharama nafuu hii itatokana na gharama za kuendesha mtandao zitakuwa ndogo kutokana na kutojihusisha na internet. Internet inakula gharama sana kwenye matumizi na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwani polisi wanafeli wapi mpaka tuanze kulipa hela ya sungu sungu

    Nagongewa mlango kufungua wadau wanataka Hela ya ulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu,na juzi wakati narudi usiku waliwweka limiti ya mtu kutembea usiku,hii SI sawa ,polisi wafanye majukumu Yao, ninalipa Kodi, haiwezekani kwenye nchi ambayo tunalipa Kodi zetu washindwe kudumisha usalama wetu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania 'Toa hela' na 'Niko bize' zinavyogusa maisha yangu! Ahsante sana Jaffarai

    Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku. -mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

    Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa. Pesa hizo mara...
  12. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Onyo!! Usije weka hela parimatch ni matapeli

    Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi. Mwishowe utakuja kuona ulitoa...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Nipe hela yangu

  14. 2019

    JamiiForums Tanzania Kuna uhalali wa kulipa hela ya sungusungu ilhali una mlinzi binafsi?

    Hii bado sijaelewa ningependa kupata au kujua ukweli, ukiwa kwenye biashara mitaani ni lazma ulipe hela ya ulinzi shirikishi hata kama kuna mlinzi kwenye fremu zenu? Hii ni nchi ya aina gani na tunapelekana wapi? Naombeni kujua ukweli.
  15. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Kutuma/Kupokea Hela kwa Nala Money, Xoom, World Remit, Sendwave au Remitly

    Habarini wadau wangu wa nguvu. Napenda kuuliza kuhusu Nala Money; Kuna yeyote humu ambae ameshawahi itumia. Nadhani wengi watakuwa bado sababu kwa Tanzania bado haijazinduliwa. Jambo langu kubwa ambalo nilitamani kulifanya ni kuweza kupokea hela kutoka nje (German). Naomba kama Kuna mwenye...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Building Better Tomorrow (BBT): Hongera Bashe, sisi wakulima tunasema piga hela za Rais Samia haswa, zile kwelikweli Kaka!!

    Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa ! Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?. Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi...
  17. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Gumzo shule nzima baada ya kutumia hela ya ada

    Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne. Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ushahidi Hayati Magufuli alimuua nani, aliiba nini na alimpora nani hela?

    Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia; 1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tulioweka hela zetu Credit Swiss matumbo joto

    Credit Suisse ya Usiwiz imeiomba Swiss Central Bank iipige jeki baada ya hisa zake kushuka kwa kasi ' nose dive'. Hii hali imetokana baada ya SVB silicon Valley Bank ya Marekani hisa zake zilipoanza kushuka. Wawekezaji wakubwa na wadau wa Credit Suisse wamekataa kuendele kutoa msaada wakifedha...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza hela zikibadilishwa, za zamani hupelekwa wapi?

    Kwa anayefahamu atuelekeze Hapo ukifikiria sana utagundua kwamba pesa ni makaratasi maana hizo pesa haziwezi tena kuja kutumika.
Back
Top Bottom