hayana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haya ni mazao matano ambayo hayana mkono wa Serikali, ukikaza huko unachomoka na pesa

    Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri...
  3. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana fomula lakini yana siri nyingi. Chukua hizi 11 kama zitakufaa

    1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula[emoji1787] maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako kwa sababu huyo rafiki...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wakili Harold Sungusia: Kama tunatazama maslahi mapana ya Taifa basi tutatoa mapendekezo ya Katiba Mpya ambayo hayana ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba Mpya Tanzania kuangalia maslahi mapana ya Taifa na sio maslahi binafsi,au maslahi ya Taasisi,Dini...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Maji hayana ku expire

    Maji ni dutu inayotokea kiasili ina maisha marefu sana kwa muda usiojulikana maji hayaishi muda wake, hata hivyo kutokana na ukweli kwamba chupa za maji za plastiki huchuja kemikali ndani ya muda wa ziada wa maji tunapendekeza maisha ya miaka 2 kwa maji ndani ya Chupa ya plastic. Baadhi ya...
  6. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana formula

    Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂 Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾 #SOS
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Profesa Manya: Ratiba za uzoaji Taka nchini hazieleweki na maeneo mengi hayana Madampo

    DODOMA: Mbunge Prof. Shukrani Elisha Manya amesema Maeneo mengi ya Makazi nchini hayajatengewa sehemu maalumu za Kuhifadhi Taka, hali inayosababisha kuzagaa kwa Taka mitaani Pia, amesema ratiba ya Magari yanayopita kukusanya Taka kwenye makazi ya Watu haziko wazi na hazijulikani kwa Wananchi na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  9. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana huruma, ukiwa unayahurumia

    Jioni hii ya tarehe 21th march, nimekaa nikatafakari ya kuwa maisha yana siri kubwa sana , jinsi unavyo yaishi na wewe yanakuishi hivyo hivyo. So live according to the situation....ukipata fursa ikamatie mpaka ikamatike. Ndiyo maana hata watu wakipata sehemu za kupiga hela wanapiga...
  10. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Wakati tunaendelea kula kuku tusisahau tulipotoka, wekeza siku ukiwahitaji usije kuwa mzigo

    Habari za sasa hivi wakuu?? Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji. Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
  11. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ni jogging hayana impact kwa mtawala

    Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu Africa tofauti na ulaya Ulaya watu hata wanne wakifanya...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?

    Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

    THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi. Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza. Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maandamano ya Mwabukusi na Mdude 9/11/2023, wasizuiwe waachwe maana hayana maana, watapuuzwa na wananchi

    Kinachokwendwa kufanywa na wakili Mwabukusi na mwanaharakati Mdude tarehe 9/11/2023 juu ya maandamano waliyopanga ni kujaribu kuficha aibu ya kuumbuka kwa upotoshaji wao. Maandamano hayo ya tarehe 9/11/2023 awali yalipangwa kufanyika 30/09/2023 na kama yangefanyika kipindi hiko na hoja...
  17. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

    Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia. Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Uongozi TANESCO hayana maana kama bado umeme unaendelea kukatika

    Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu. Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa: Wananchi Tuendelee Kushikamana, Maendeleo Hayana Njia ya Mkato

    MBUNGE NGASSA: "WANANCHI TUENDELE KUSHIKAMANA , MAENDELEO HAYANA NJIA YA MKATO" "... Mwaka 2021 baada ya Uchaguzi Mkuu Nilikuja kufanya Mkutano wa kushukuru hapa kwenye Kijiji chenu, Nikawaahidi kukamilisha Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi katika kuunga mkono nguvu zenu...
Back
Top Bottom