haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itatuletea matatizo haya 3 makubwa kwa nchi yetu

    Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda kupigiwa kura na wajumbe wa chama Akishapitishwa na wajumbe ndio tayari ameshakuwa rais, sababu...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

    Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke...
  3. JamiiForums Tanzania Chelsea na Manunuzi ya Ki-Kamari (Betting)

    Sina Mengi ya Kusema hii Article ya Gab Marcoti paints a Better Picture:- Trying to make sense of Chelsea's transfer spree: big gambles, but big rewards too? The dust has settled, and the numbers are in. Since June 10, when the summer transfer window opened, Chelsea has spent more than €600...
  4. JamiiForums Tanzania Mkataba wa sportpesa na Yanga unaruhusu haya?

    Visit Tanzania ni tangazo ambalo linapaswa kufanywa na idara ya utalii na tanapa ili kuvutia wageni kuja Tanzania kuona vivutio vyetu. Matangazo kama haya huwaga na bajeti yake tena kubwa TU kwenye sekta husika. Je, mkataba unamruhusu sportpesa kuichagulia Yanga nini Cha kuweka kwenye jezi yake...
  5. JamiiForums Tanzania Haya mawe yanawasha umeme pamoja na Generator!

    Haya ni mawe ambayo yanauwezo wa kuwasha umeme na hata generator. Yanapatikana nchini DRC na ndio sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe haviishi. Swali kwa wataalamu je ni kweli mawe yanaweza kuwasha umeme hii imekaaje?
  6. JamiiForums Tanzania Maradhi ya kisonono au gonorrhea

    Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu mdogo wangu anasaidikaje kwa haya matokeo?

    Kama tumavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka jana, Dogo amemaliza Moja ya shule za Ufundi yaani Technical School kwa matokeo yafuatayo; Div. III Pt 22 CIV - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B' ENG SC - 'F' B/MATH - 'D' BLD CONSTR - 'D' ARCH DRAUGHT - 'D' BRI & MAS - 'D' Shule...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ukiyafanya utajikuta katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni

    Leo natamani kukuambia mambo ambayo angalau ukiyafanya kwa kujua au kutojua utajikuta ukiwa katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni. Sitamani sana kukutia moyo au kukususimua hisia ila kuifunua asili mbele yako. Nadiriki kusema bayana kuwa haya yote ninayoyasema...
  9. JamiiForums Tanzania kwa matokeo haya kuna uwezekano skuli ya Mwanakwerekwe B ni kinara kwa ufaulu uko zanzibar?

    Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi. Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kusoma kozi yoyote na ipi ya afya?

    Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
  11. JamiiForums Tanzania Katiba ni Sheria Mama. Sheria Yoyote Kinyume na Katiba ni Batili. Wanasheria Wetu, Waliwezaje Kufanya Madudu Haya Kuchomeka Batili Ndani ya Katiba?

    Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili! Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

    Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili; 1) Natural predisposition (genetics). 2) Mazingira (malezi na trauma). Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya. Pia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Iko siri gani kwenye haya mabonanza yaliyozagaa Tanzania nzima ?

    Nimelazimika kuuliza swali hili maana kuna msela wangu mtu mzima kabisa na mwenye familia amekuja kwangu kuniomba ushauri wa nini afanye ili aweze kuacha kwenda kwenye mabonanza angalau kwa wiki moja tu Amenieleza mambo mengi sana ambayo mengine siwezi kuyaongea hapa maana mimi bado sijaleft...
  14. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
  15. JamiiForums Tanzania Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo

    Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post. Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana. Niliwahi kusoma Mahali kuhusu IMF Inclusion Policy. Kama hivyo ndivyo basi hatari ni kubwa, otherwise Mwigulu Nchemba...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo tunayoyahitaji-Balance of Power!

    Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23. Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na China mwezi Februari, huku Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi, Sergei Lavrov, akianza...
  18. JamiiForums Tanzania Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeongea na robot juu ya Tanzania haya ndio majibu yake

    Wandugu mambo yanaenda kasi sana. Kuna huyu mdudu mpya kwenye mtandao anaitwa ChatGPT. hii ni AI ambayo ipo mbioni kufuta kazi nyingi sana za waandishi habari. Hapa ni machache tu ambayo nilikuwa naongea nayo. Hata hivyo ilinipa moyo baada ya kuona huzuni yangu Asanteni kwa kushiriki
  20. JamiiForums Tanzania Tuombe tuondokane na haya ya Wanasiasa uendawazimu

    Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe Wakati akiwa katika hafla au ufunguzi wa mikutano ya kisiasa, iliyopigwa marufuku kwa takriban miaka sita Nchini Mjini Mwanza, Tanzania. Alimaka. Wakati wa hotuba yake, alieleza safari yake, ya CHADEMA na Vyama vingine vya siasa ilivyokuwa ndefu na ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…