Mambo ambayo ukiyafanya utajikuta katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,542
3,451
Leo natamani kukuambia mambo ambayo angalau ukiyafanya kwa kujua au kutojua utajikuta ukiwa katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni. Sitamani sana kukutia moyo au kukususimua hisia ila kuifunua asili mbele yako. Nadiriki kusema bayana kuwa haya yote ninayoyasema nimejifunza kutoka Kwa walioyaishi na ni mfano wa kuigwa. Mambo hayo ni:
1. Penda kudumu katika kujifunza
2. Lengo la wewe kuinuka ni kuwainua wengine
3.Unapofanikiwa katika jambo fulani ni Ili uwafanikishe na wengine
4. Thamani yako inapokuwa ni Ili thamani za wengine nao zikue
5. Tunaongezeka kwa kutoa
6. Tunavuna Kwa kupanda.
 
Back
Top Bottom