Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

Unavoidable Servant

JF-Expert Member
Oct 13, 2021
1,288
3,278
Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF.

Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na kuchafuwa masufuria Sasa hata muoshaji ni mateso.

Nimeona isiwe tabu Sasa sinunui majiko makubwa nataka la plate mbili tu nikihitaji huduma za oven ndio nitatumia hili Jiko kubwa, Sasa tupeane muongozo hapa ni brand gani siyo pasuwa kichwa?

Karibu ni wananzengo.
 
Sasa kosa umweleze shemeji akatafute jiko zuri, unaanza tena wewe habari za majiko
 
Hivi sababu ya kutoa ule moto wa rangi ya njano kama koroboi ni nini? Hata za double plate sometimes nazo zinatoa moto huo

Wajuzi...!
 
Hata sio tatizo kubwa kule chini ya jiko kuna kidude unakiweka sawa tu
Hivi sababu ya kutoa ule moto wa rangi ya njano kama koroboi ni nini? Hata za double plate sometimes nazo zinatoa moto huo

Wajuzi...!
 
Back
Top Bottom