Wakuu mdogo wangu anasaidikaje kwa haya matokeo?

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,549
12,409
Kama tumavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka jana, Dogo amemaliza Moja ya shule za Ufundi yaani Technical School kwa matokeo yafuatayo; Div. III Pt 22
CIV - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'B'
CHEM - 'D'
BIO - 'B'
ENG SC - 'F'
B/MATH - 'D'
BLD CONSTR - 'D'
ARCH DRAUGHT - 'D'
BRI & MAS - 'D'

Shule aliyomaliza ina only 2 Combination PCM na PCB na hapo Engineering Science ndo imepiga chini.

Naomba ushauri namna ya kumnasua huyu dogo ikiwezekana aende form 5 maana ndo kwanza ana 16 Year na chuo hasa Technical college sidhani kama ana nafasi kwa ku fail hiyo Engineering Science.
Naomba msaada wa mawazo
 
Anapenda aende 5
Aende 5 akasomee combination gani?. Kwenye hizo shule huwa hakuna options nyingi yani ni pure science heri yao angalau walikuwa na biology na mazaga mengine wengine tulisoma huko ilikuwa ni pure hasa kitu PCM na masomo ya Unga (Trade). Hapo kama anataka aende 5 arudie paper or otherwise atafute college ila atapata za certificate, then dip kwa ufaulu wake huu diploma ni issue kupata.
 
Back
Top Bottom