haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sijajua kwanini haya hutokea. Je, wewe unajua?

    Kwanza niseme wazi kwa mtazamo wangu wanamuziki wa bongo flaver, hiphop, dance nk ktk miziki ya ulimwengu ni wabunifu sana ingawa wengine mizigo. Pili nawapongeza wanamuziki wa dini wachache wana ubunifu wengine craming capacity inawasaidia hawabuni kitu ambacho kitaelimisha na kumleta mtu ktk...
  2. JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angemaliza muda wake na Kustaafu akaandika Kitabu haya yasingekosa, pitia uzi huu kwa Umakini

    Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema, Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe . Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Leo baada ya mechi na Rivers United haya ndiyo yatakayokuwa maongezi ya Wana Yanga

    Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema: 1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby. 2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi waliitumia kujiandaa na mechi ya watani. 3) Wachezaji waliwadharau wapinzani (by Nabi) hivyo kupoteza...
  4. JamiiForums Tanzania Sikutegemea kuona haya

    Wanaume ni viumbe wa ajabu sana jamani leo nimeyaona maajabu yao. Iko hivi, my man nilikwenda naye kwenye mwaliko wa kula sikukuu ya idi nyumbani kwa shoga yangu Pamela, nilialikwa na shoga yangu hivyo sikuona sababu ya kumtelekeza chibaba wangu home alone nikalie bata peke yangu, nilimwambia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
  6. JamiiForums Tanzania Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

    Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza wanajeshi kama senene humo, sasa Ukraine wapo kwenye maandalizi ya kuirejesha ardhi yao.... The Patriot...
  7. H

    JamiiForums Tanzania TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

    Herode Farao Pilato Nebucadreza Etc... Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........ Wasalaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndio madhara ya kuajiri watoto kwenye taaluma

    Unajiuliza hawa ni wawakilishi wa timu kwenye umma au ni vibonzo?! Hapa wanahojiwa na mwana habari, lakini wanajibu upuuzi
  10. JamiiForums Tanzania Napata maneno haya mara kwa mara ninapoperuzi Facebook. Tatizo Nini?

    Salaam wanajukwaa. Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu. Nimekuwa naletewa ukurasa huu ufuatao Kila ninapoperuzi Facebook. Tatizo nini?
  11. JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana. Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

    Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi. Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
  13. JamiiForums Tanzania Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  15. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ambayo Marekani na Tanzania zinafanana kwa sasa. Soma uyajue

    Wakuu vipi, kwema. Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo. 1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani: Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka...
  16. JamiiForums Tanzania Achana na propaganda haya ndio makombe ya simba/yanga

    Yanga Ligi kuu --28 Muungano--6 Kagame(cecafa)-5 Fa--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--2 Mtaani jembe--0 Tusker---2 Hadex--1 Cafcc---0 Cafcl--0 Ngao ya jamii--7 Banc ABE super8-0 Jumla--61 Simba Ligi kuu--22 Kagame--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--4 Muungano--5 Tusker---4 Hadex--1 Mtaani jembe--3...
  17. JamiiForums Tanzania "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  18. JamiiForums Tanzania Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nichague Mataifa Matatu tu ya Wananchi wanaojielewa, werevu wapenda Haki, Maendeleo na siyo Waoga nitachagua haya...

    1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kocha Nabi kaenda leo: Haya siyo matokeo ya wananchi

    Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi. Kwa mwendo huu, yajayo ya Rivers United yatafurahisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…