Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza wanajeshi kama senene humo, sasa Ukraine wapo kwenye maandalizi ya kuirejesha ardhi yao....

The Patriot system is considered to be extremely advanced
The Patriot system is considered to be extremely advanced© Axel Heimken/dpa/picture alliance

The Patriot system is used to combat enemy aircraft, ballistic missiles and cruise missiles. Meanwhile, Ukraine says an overnight Russian drone attack hit the southern port city of Odesa. DW has the latest.
Ukraine has received its first Patriot defense system, delivered by Germany, Ukrainian Defense Minister Oleksiy Reznikov said on Wednesday.

The Patriot system is used to combat enemy aircraft, ballistic missiles and cruise missiles and its considered one of the most advanced defense systems developed by the US.

"Today, our beautiful Ukrainian sky becomes more secure because Patriot air defence systems have arrived in Ukraine," Reznikov wrote on Twitter, adding that Germany, the US and the Netherlands "kept their word."

The US and Germany each agreed to provide Kyiv with one of the systems. The Netherlands has also pledged to provide missiles and parts.

German press agency dpa cited a German military source as saying that Ukrainian soldiers received training by Germany and the US in a NATO country where joint drills were held.

Russian President Vladimir Putin has vowed to find an "antidote" to the air defense system.

Here are some of the other notable developments concerning Russia's war in Ukraine on Wednesday, April 19:
 
USA mpenda choko choko

Alikuwa kawachonganisha Iran na Saudia ili wapigane apate kuuza silaha zake, China kafanya juhudi kawapatanisha America kabaki na aibu kubwa na kahuzunika sana kukosa hilo soko kwa silaha zake, sasa hivi anaelekea Ukraine na kishaanza kuimarisha soko kupitia rafiki yake Shoga-Zelensky. Wala hajali ni watu kiasi gani watakufa kwa vita ambayo yawezekana asipatikane mshindi.

Ikumbukwe, na Zelensky anajua hilo fika, kwamba Russia hata piga magoti kwake na kwa NATO/US, never will it happen, kinachokuja kutokea, kwa uingizwaji wa silaha huko Ukraine kutoka Ulaya na Amerika na uingiaji wa wanajeshi mamluki kutoka Ulaya, huo ni mwanzo wa vita kuu ya lll ya dunia, Russia kisha peleka makombora ya Nuclear huko Belarus na anatarajia kumpa Kiduku makombora iwapo Korea kaskazini itapeleka silaha huko Ukraine, hapo ndipo utakapoona jinsi vita inavyotaka kusambaa.

Inatakiwa viongozi wenye busara (prominent leaders) kutoka Ulaya, Afrika, Marekani ya kusini, Asia waungane waunde majopo mawili yatakayokaa kuandaa mpango wa amani waombe kusimamisha mapigano halafu jopo moja liende Ukraine na jingine lienda Russia kupeleka mapendekezo ya amani, njia hii ndio iliyosalia kwani UN ni umoja wa kishenzi na umeshindwa kazi.

Vita vya dunia vitakuwa na athari mbaya sana kwetu sisi Wa africa ambao mahitaji yetu muhimu [mikopo, misaada, madawa, mafuta, malighafi nk] hutegemea huko nje.

Huyo MK254 kakaa kishabiki zaidi kuliko kuangalia tatizo hilo katika picha hii.
 
Alikuwa kawachonganisha Iran na Saudia ili wapigane apate kuuza silaha zake, China kafanya juhudi kawapatanisha America kabaki na aibu kubwa na kahuzunika sana kukosa hilo soko kwa silaha zake, sasa hivi anaelekea Ukraine na kishaanza kuimarisha soko kupitia rafiki yake Shoga-Zelensky. Wala hajali ni watu kiasi gani watakufa kwa vita ambayo yawezekana asipatikane mshindi.

Ikumbukwe, na Zelensky anajua hilo fika, kwamba Russia hata piga magoti kwake na kwa NATO/US, never will it happen, kinachokuja kutokea, kwa uingizwaji wa silaha huko Ukraine kutoka Ulaya na Amerika na uingiaji wa wanajeshi mamluki kutoka Ulaya, huo ni mwanzo wa vita kuu ya lll ya dunia, Russia kisha peleka makombora ya Nuclear huko Belarus na anatarajia kumpa Kiduku makombora kama Korea kaskazini itapeleka silaha huko Ukraine.

Inatakiwa viongozi wenye busara (prominent leaders) kutoka Ulaya, Afrika, Marekani ya kusini, Asia waungane waunde majopo mawili yatakayokaa kuandaa mpango wa amani waombe kusimamisha mapigano halafu jopo moja liende Ukraine na jingine lienda Russia kupeleka mapendekezo ya amani, njia hii ndio iliyosalia kwani UN ni umoja wa kishenzi na umeshindwa kazi.

Vita vya dunia vitakuwa na athari mbaya sana kwetu sisi Wa africa ambao mahitaji yetu muhimu [mikopo, misaada, madawa, mafuta, malighafi nk] hutegemea huko nje.

Huyo MK254 kakaa kishabiki zaidi kuliko kuangalia tatizo hilo katika picha hii.
Marekani anapenda shari kila sehemu yenye amani yeye atapenyeza chuki zake halafu ndio baba wa democracy duniani
 
Kwa mfano wapi?
Umekariri ya kuambiwa

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
.
Screenshot_20230324-091126.jpg
 
Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza wanajeshi kama senene humo, sasa Ukraine wapo kwenye maandalizi ya kuirejesha ardhi yao....

The Patriot system is considered to be extremely advanced
The Patriot system is considered to be extremely advanced© Axel Heimken/dpa/picture alliance

The Patriot system is used to combat enemy aircraft, ballistic missiles and cruise missiles. Meanwhile, Ukraine says an overnight Russian drone attack hit the southern port city of Odesa. DW has the latest.
Ukraine has received its first Patriot defense system, delivered by Germany, Ukrainian Defense Minister Oleksiy Reznikov said on Wednesday.

The Patriot system is used to combat enemy aircraft, ballistic missiles and cruise missiles and its considered one of the most advanced defense systems developed by the US.

"Today, our beautiful Ukrainian sky becomes more secure because Patriot air defence systems have arrived in Ukraine," Reznikov wrote on Twitter, adding that Germany, the US and the Netherlands "kept their word."

The US and Germany each agreed to provide Kyiv with one of the systems. The Netherlands has also pledged to provide missiles and parts.

German press agency dpa cited a German military source as saying that Ukrainian soldiers received training by Germany and the US in a NATO country where joint drills were held.

Russian President Vladimir Putin has vowed to find an "antidote" to the air defense system.

Here are some of the other notable developments concerning Russia's war in Ukraine on Wednesday, April 19:
Propaganda ya kitoto Sana na kutoka kwa mtu ambaye ni ziro kichwani...Objectives za SMO hazijajikita katika kuteka Kiev peke yake...Objectives ni nyingi Kama to create multipolar world, to destroy the economy of the west, to cause social and political disharmony in the west, to destroy Ukraine army and Nazis in Ukraine, to discredit the west in the eyes of the world, etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom