haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama. Chanzo cha mgogoro huo ni uamuzi wa Serikali wa mwaka 2017 kuifutia kampuni hiyo leseni ya uendeshaji...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Marekani haioni haya wala kujua hatari ya wanachokifanya Israel

    Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa. Raisi Biden tangu siku ya mwanzo bila kupata picha kamili ya vita vilipoanza akasema Israel inastahiki...
  4. JamiiForums Tanzania Mtawaficha wote ila siyo GENTAMYCINE, haya Tangazeni upesi kuwa na Kipa wenu Mnata mmemuadhibu kama mlivyomuadhibu Mkude

    Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani. Na taarifa ya uhakika...
  5. JamiiForums Tanzania Je, maneno haya kuhusu hasara za kuoa mwanamke mzuri ni kweli?

    Si maneno yangu bali ni maneno yaliyo katika wimbo wa Jimmy soul. Ukizungumzia hasara za kuoa mwanamke mzuri. If you want to be happy for the rest of your life Never make a pretty woman your wife So for my personal point of view Get an ugly girl to marry you A pretty woman makes her husband...
  6. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Haya mambo kuweni makini nayo

    1. Usidate na mtu hana kipato uwe me au ke, 2. Usidate na mtu kila saa ni anahitaji kusaidiwa 3. Usifanye kazi kwenye kampuni isiyo kubwa na isiyo yenye kipato 4. Usifanye kazi mahali mtu hajapiga hatua. 5. Usidanganywe na me au ke kuwa yeye ni mlokole vitu vyote anapata kwenye maombi, usipende...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hadi kijana wa Tanzania anamaliza form four anatakiwa ajue haya yafuatayo...

    Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in... Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  11. JamiiForums Tanzania Haya mambo nimeacha kabisa nowdays. Ukijichanganya tu umeliwa

    Nimeacha haya mambo kabisa. Nimeona ni kujiongezea shida. 1. Kumpigia simu demu kumsalimia. Ukimpigia ukamsalimia ukamuuliza mambo vipi akajibu mabaya. Ukijichanganya kuuliza shida nini hapo lazima aku bom. 2. Kutaka nyingi nasaba na mademu, hapo ni kupata mingi misiba. Mademu wa sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Haya semeni haraka nije na Info ya huko Mwanza sasa au Niichunie tu ili Amani itawale na Wasivurugane?

    Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado...
  13. JamiiForums Tanzania Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

    Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Kocha Minziro wa Prisons FC na mwana Yanga SC lia lia nitamshangaa Mtu aliyechukia kwanini Simba SC imeshinda leo

    "Kiukweli Wachezaji wangu hawako Smart Kichwani ( akimaanisha ni Wapumbavu ) kwani kila Siku katika Uwanja wa Mazoezi nawapa Maelekezo yale yale lakini tukija katika Mechi wanayarudia. Niliwaambia Simba SC ina Wachezaji wengi wenye Vipaji vikubwa na Binafsi hivyo tusipokuwa makini Watatufunga na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

    Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji. Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro. Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe. Sijui...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi nani anaegharamia pesa haya mashindano ya SHIMIWI

    Ni mashindano yameanzishwa muda mrefu leo hii nazani ni kwa mara ya kwanza yamefanyika mkoa wa iringa Nimeona watu ni wengi ambao ni wafanyakazi zaidi ya watu 3000 wamesafirishwa kutoka nchi nzima watakaa hapa kwa siku 14 Naomba kuuliza hizi gharama zakuwatunza hawa watu zinatoka wapi kula na...
  17. JamiiForums Tanzania Wale watoto wa siku hizi haya mambo mnayasikia tu.

    Zamani tulikuwa tunakula kwa pamoja,hii ilisaidia kuondoa tabia ya uchoyo,ilijenga uhusiano,na ilimwondolea uvivu wa kula mtoto.Lakini wazazi wengi sasa watoto wao wanakula Kila mmoja peke yake,kwakweli wanamic hayo niliyosema.tazama video hapa na picha.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kama kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele matukio haya yangefanikiwa bila uwepo wa Mitandao ya Kijamii?

    Wakuu, Waziri Nape alitoa kauli hivi karibuni akisema watu waliokuwa kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele tu na kwamba wapiga kura na wale wanaojielewa wanafanya mambo mengiine mtandaoni lakini sio kutumia mitandao ya kijamii. Haya ni baadhi ya matukio ambayo mitandao ya kijamii...
  19. JamiiForums Tanzania Haya Mvua ya El Nino imeshaanza Majaribio yake Mkoani Dar es Salaam hivyo tujiandae nayo

    Na kama Mtu ambaye nimejiandaa kuwa Mtetezi wa Serikali pale Mvua za El Nino zikianza ni Mimi GEBTAMYCINE. Tokea Mwezi wa Tano ( May ) au wa Sita ( June ) Serikali kupitia Media mbalimbali kila Siku imekuwa ikitoa Tahadhari kwa Wananchi ( hasa wa Mabondeni Kuhama ) ila nasikitika kusema kuwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya nyele sehemu za siri kwa wanawake na wanaume?

    Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida? Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani). Ninavyofahamu unasomeshwa na ndipo unakuwa mbobezi. Haya wenye elimu tupeni ushuhuda iliyonyolewa au iliyokuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…