haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utakapofanya haya utahesabika kutenda Uhaini

    Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania TLS, wanachama wenu wanafuata maadili ya uwakili au wanajiendea tu?

    IV. LAWYER AND JUDGE Lawyers and judges owe each other respect, diligence, candor, punctuality, and protection against unjust and improper criticism and attack. Lawyers and judges are equally responsible to protect the dignity and independence of the Court and the profession. l. I will...
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Makamu Waziri Mkuu - kuwa upande wa WAKULIMA anza na haya:

    SALAAM! # Wakulima wa tumbaku wa hapa Biharamulo (Kalenge) kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku musimu huu - ni takriban 100,000USD wanaidai KAMPUNI iitwayo Mkwawa Leave Tobacco Ltd; # Rushwa - usafiri na usafirishaji hususan magari yafanyayo safari za Nyakanazi - Kakonko ambapo kila dereva wa...
  4. MrWings

    JamiiForums Tanzania Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  5. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Spika wa Bunge la Gabon akamatwa Agosti 31, 2023 akitoroka nchi hiyo na Mabegi ya fedha

    Huyu ni Spika wa Bunge la Gabon alipokuwa anataka kutoroka leo hii asubuhi, Agosti 31, 2023. Ukiona viongozi tuliowaamini wanasaini mkataba mbovu kama DPW ujue nyuma yake kuna mambo kama haya! Video inayodaiwa kumuonesha Spika wa Bunge akiwa amekamatwa na Mabegi ya fedha akitoroka
  6. Gwili

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Fanya haya mambo 5 ili uzeeke kijana

    Watu wengi ni wazee lakini vibogoyo, wamepinda, hawaoni, hawanusi, wanatembea na chupa za mikojo na vidonge vya rangi mbalimbali. Huu uzee unagharama sana. Kuna mambo ukianza kufanya leo yanaweza kukusaidia ukazeeka huku huku ukiwa unanguvu na kila kitu kiko vizuri. 1: Asilimia kubwa ya vyakula...
  8. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

    Jamani hapa DUNIANI tupo miaka michache sana katika starehe,. Yaani ni kutoka 25 mpaka 55 Hivyo kama kuna vya kuvitumia kulingana na uwezo wako vitumie sana,. Kama ni (🍺 bia)kunywa sana ikikupendeza zaidi vuta na BANGI ndani ya hiyo miaka, Kama ni (❌ ngono) fanya sana tena hata ngono zembe...
  9. Eloy Joel

    JamiiForums Tanzania Hatua za kimaisha zenye kuhitaji uvumilivu

    Kwanza kabisa Unaanza kwa kulelewa Yani kutegemea wazazi au sehemu yoyote unapopata Malezi. Then inafika time unaanza jitegemea but sio totally kwa kuwa hapa utakuwa ukisumbua sana watu kwa kuomba omba pesa za kujikimu. Baada ya Hapo sasa utaanza jitegemea totally Yani unapunguza kuomba omba...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mchango wako, unaonaje mawazo haya 🙏

    .
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Maaskofu waliyakalia kimya mambo haya?

    Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya. Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya. Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa. Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya...
  12. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Mwambieni jamaa yenu aache matusi ya rejareja tena ya kudhalilisha wanawake.
  13. Diwani

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa si Watawala wetu, usitumike

    Tanzania kama yalivyo mataifa mengine duniani, ni jamii ya mfumo wa Kibepari. Mfumo ambao, endapo unakomaa miongoni mwa watu wake, basi maslahi ya mtu mmoja huwa na nguvu dhidi ya maslahi ya watu wengi. Muda mwingine maamuzi ya wachache, hutawala mifumo ya maisha ya wengi. Demokrasia...
  14. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi? 2 ...
  15. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

    sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu. Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
  16. MullaB

    JamiiForums Tanzania Antinatalism vs Childfree: Mambo ya uelewa kati ya haya mawili

    Natumaini mko wazima wanna forum. Mada ya leo itahusu antinatalism na childfree. Nitaanza kwa kuweka hizi hoja mbili wazi kuwa kuna watu ni childfree (by choice) na pia ni antinatalist ila si kila antinatalist ni childfree. Nitaanza kuzungumzia watu childfree Watu wanaochagua kuwa childfree kwa...
  17. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayotukwamisha vijana ni haya

    Haya ni mambo ambayo yanatufanya vijana tusiaminike. Historia za familia zetu Tabia zetu Mitazamo yetu. Haya matatu yanaweza kukwamisha maisha yako yote bila wewe kujua.
  18. A

    JamiiForums Tanzania IPO haja Kwa taasisi za watanzania kununua hisa kwenye haya makampuni

    Ili wa Tz waweze kumiliki rasilimali zao IPO haja ya hizi taasisi kuwa wanauziwa hisa , Bakwata, TEC, CCT, Bodi ya madaktari, ma engineer, cwt,TLS,nbaa, PSPT nk , ili tuepukane na Wana siasa uchwara. Makampuni iwe TPDC, TPA, nk nk
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka. Siyo...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya TEC wameshakuja na Tamko leo Jema, je, na Sisi wana JamiiForums Tamko letu litatoka Saa ngapi?

    Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko. Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys ) Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu...
Back
Top Bottom