hawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Anayeuza bidhaa nje hawezi kukosa dollar: Niseme tu ukweli dollar haiwezi kupatikana bila kuzalisha bidhaa za kuuza nchi za nje (Balance of Trade)

    Mimi binafsi sina hakika kama dollar ni tatizo la dunia nzima. Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar? Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar? Kwamba tukilima korosho kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Upendo hawezi kuchoma watu kwa moto. Huo ni Ushetani

    Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Kuna Mungu Muumba wa mbingu na nchi halafu kuna miungu. Mungu Mkuu ambaye hajawahi kuonekana na kamwe hatokuja kuonekana Daima milele, hawezi kufanya wala kuwaza huo upuuzi wa kuchoma watu, hilo haliwezekaniki! Miungu hii inayoabudiwa ndio inaweza kufanya...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hata Tundu Lissu hawezi shinda kesi ya Bil 260 ICSID. Wanaohusika na kuingia mikataba mibovu wanyongwe

    Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda. Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu. Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi

    Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo; Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi. Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wala Kaizer Chiefs hawawezi kumchukua wala kumtaka Fiston Mayele

    Wakati maumivu ya kuondoka kwa "Profesa" Nabi bado hayajapoa, kumekuwa na uvumi kuwa kuna uwezekano baadhi ya wachezaji akiwemo Fiston Mayele kujiunga naye huko alipokwenda. Ukweli ni kuwa Mayele pamoja na Aziz Ki ni baadhi ya wachezaji aliokuwa anawavumilia tu kutokana na kuwa ni vipenzi vya...
  7. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Muafrika hawezi kuendelea asipoachana na hizi dini za wageni

    Hello wakuu. Nyerere aliwahi kusema anashangaa wanyonge wanatengana wakati wenye nguvu wanaungana kumtawala mnyonge. Umoja ni nguvu, Afrika haiwezi kujitawala tusipokuwa wamoja. Huwa inaniuma sana kuona vijana kwa wazee wa kike kwa kiume wote wenye ngozi nyeusi wakitukanana, wakibaguana na...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida mtu hawezi kubinafsisha Bandari zote nchi nzima! Waziri alilishwa nini?

    Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba. Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu...
  10. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Samia hawezi kuaminika tena, amejipa doa sugu

    Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa! Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho. La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama Yusuf Makamba aliongoza Dar es Salaam, Chalamila hawezi kushindwa

    Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu. Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila? Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa...
  12. beatboi

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    ~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele > ~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu> ~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja> ~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli> ~udereva < wanaogopa ajari > ~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi> ~kilimo hakilipi...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwenye Seli Mundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30

    Hii imekaa vipi kitaalam, Mwenye Selimundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30?
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akitoka Kufanya ngono hawezi kusali?

    Wakubwa Habari za muda huu? Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum. Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa...
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

    Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku? Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
  16. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

    Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika. Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya hawezi kugombea 2024 wala 2025, sababu hii hapa

    Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai. Nimweka sawa mtoa wito na wengine wanaofikiria hivyo kwamba Sabaya hakuachiwa huru, hapana. Sabaya amekutwa na hatia na amehurumiwa kwenda jela mwaka mmoja isipokuwa ni kifungo cha nje! Sheria...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wananchi hawezi kuishitaki Serikali yao kwa kosa hili?

    Inafamika kuwa Serikali inakusanya Kodi kutoka kwa wananchi, na inakopa kwa niaba ya wananchi wake, inafahamika pia kuwa serikali inapanga na kutekeleza mipango kwa kutumia fedha za wananchi. Je, wananchi hawezi kuishitaki serikali Yao kwa kupangiwa mipango mibaya iliyowatia hasara wananchi...
  20. Mohammed wa 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mwenye akili timamu hawezi kutembea na mke wa mtu

    Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.  Wizi  Utapeli Wake za watu Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa. Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao. Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana...
Back
Top Bottom