Waziri Mkuu Majaliwa tulimwambia tangu mwanzo, utawala huu hawezi kufiti

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
Wale Maaskofu Waliosema Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hawajakosa hata kidogo. Sema mambo haya huwa yanachukua mda na kuaanza kuonekana taratibu.

Hapa JF wengi tukishapiga makelele toka zamani kabisa early 2021 kumwambia PM kwamba kwa msimamo wake hii serikali inayoendeshwa kutoka msoga hawezi kufanya kazi vizuri kwa uhuru. Tulimsihi sana aachie ngazi lakini wapi. Sijui analinda heshima ya nani wakati yeye mwenyewe hawamwelewi wanamtumia kwenye matatizo magumu magumu aonekane kapwaya.

Haya sasa wakubwa wameamua kukupunguzia majukumu sijui mze wangu unajisikiaje hapo ulipo. Lowassa hakuwa mjinga.

Endelea kujenga Taifa.
 
Mkuu Majaliwa wala usiondoke, banana nao hao team msoga humo humo mpaka kieleweke. Hata shujaa Magu alirushwarushwa mpaka akawa waziri wa samaki, lakini wakati ukafika ngekewa yake ikaitika. Mwamwejo wala usiondoke.
 
Back
Top Bottom