hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. Yondo Kusala Denise (Yondo Sister), JamiiForums tunakupa heshima zako na tunauthamini mchango wako, hatuna tuzo, ila tuna uzi wako

    Yondo Kusala Denise (amezaliwa tar. 1 Januari 1958) ambaye anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Yondo Sister, ni msanii wa Kikongo. Wengi humwita "Malkia wa Soukous", "Tina Turner" wa muziki wa dansi barani Afrika. Yondo Sister amepata kuwa mwimbaji mkuu katika bendi ya Soukous Stars kwa...
  2. Hatuna teknolojia ya kufunga nguzo za zege? Naona zimekaa tu

    Kuna sehemu TANESCO wanafunga nguzo za zege? Kuna sehemu kama mbili naona zimekaa tu zaidi ya mwaka. Naona kama walizinunua bila kuwa na utaalamu wa kuzifunga, mbona sioni zikifungwa!
  3. R

    Mbowe: Hatuna ndoa na CCM. CCM ni mahasimu wetu, hawatuamini na sisi hatuwaamini

    Mbowe amesema hayo katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World leo tarehe 14/7/2023, akiwa anajibu kuhusu CHADEMA kuwa mezani na CCM, akasema; Russia na Ukraine vita vinaendelea huku mazungumzo juu ya namna ya kumaliza vita yanaendelea, maana...
  4. Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  5. Tusidanganyane hakuna anayependa kubaki Tanzania Pre Season, ukweli ni kwamba hatuna Pesa

    Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia...
  6. Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?

    Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje...
  7. B

    LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
  8. Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

    Wanabodi wa jamii forums, Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana. 1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na...
  9. Wahaya hatuna kawaida ya kupanda Mabasi, wengi tuna Private Cars

    Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata. Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
  10. S

    Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

    Usichanganyikiwe na Dunia, Mambo Ndivyo Yalivyo.. Tuna Wanawake Malaika lakini Hatuna Malaika wa Kike.. 💫💫💫💫💫 ©️ Mwl. Makungu m.s 0743781910 Ndugu yangu unapokuwa katika dunia hii mengine acha tu yakupite au yaende hivyo hivyo Kama unahisi ni mazito kwako. Vinginevyo utajichanganya...
  11. Ahmed Ally: Simba hatuna cha kujivunia sana maana hatujapata tulichokihitaji

    Tuzo zilizotolewa jana zimehitimisha rasmi msimu wa 2022/2023 Tuwapongeze waliotwaa Ubingwa na waliopata Tuzo, Na kwa kipekee kabisa tuwapongeze wasimamizi wa ligi pamoja na waaandaji wa Tuzo. Kwetu Simba tuwapongeze nyota wetu waliotwaa tuzo hakika wametuheshimisha Kiujumla kama timu hatuna...
  12. Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa. Waraka wa wazi kwa waheshimiwa wabunge Nakala kwa waheshimiwa viongozi wa dini Nakala kwa taasisi ya...
  13. Ingekuwa Kenya kingeumana !! Sisi hatuna upinzani upo TU WA mitandaoni!

    Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
  14. Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  15. George Job aliwahi kusema hatuna timu ya kufika Fainali ya Michuano ya CAF

    Njooni mumpike kama sio kumkaanga
  16. Hawa wanaopanda katika Daladala na Kutuomba Msaada wanatufanya Sisi Abiria hatuna Akili au?

    Kuna Mmoja kapanda Dala Dala nililopanda Jana Usiku la Buguruni - Mwenge aliniachi Maswali mengi sana. Kwanza ana Afya nzuri ambayo hata GENTAMYCINE ninayeombwa Msaada sina. Pili kuna muda akasema kuwa tayari ana Shilingi Milioni Saba na anataka tumchangie Shilingi Mia Tano, Elfu Moja zetu na...
  17. FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  18. Hatuna bahati, tumekufa kiume, tumejitahidi

    Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
  19. Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

    Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya. Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa...
  20. Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

    😅😅💯
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…