hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

    Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
  2. JamiiForums Tanzania Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

    Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuelekea Utawala Bora Tanzania: Kupiga Hatua Mbele

    Utalii, Teknolojia, Uadilifu, na Uwazi: Mabadiliko ya Kweli kwa Tanzania Tanzania, kama taifa lenye utajiri wa kipekee wa rasilimali za asili na utamaduni wake mzuri, ina fursa ya kipekee kuongoza katika bara la Afrika kuelekea utawala bora. Utawala bora unahusu maendeleo ya nyanja zote za...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Hatua tatu

    Ni matumaini yangu uheri mzima wa afya msomaji na mfuatiliaji wa jukwaa hili la "stories of change" Naam katika ustawi wa taifa lolote lile ni lazima afya za watu wake ziwe bora, ikiwa afya zao zinakuwa duni basi upatikanaji wa maendeleo katika taifa hilo ni ndoto. Kwa msingi huo ndio maana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Katika Sekta Yote: Mwongozo wa Hatua za Mabadiliko

    Kichwa Cha Andiko: Utasaidia kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora katika sekta yoyote kwa kuzingatia hatua zifuatazo: 1. Kuunda mfumo wa uwajibikaji: Fanya uhakiki wa muundo wako wa uongozi na uwajibikaji. Hakikisha kuwa majukumu na wajibu wa kila mtu wanaeleweka wazi. Weka njia za...
  6. JamiiForums Tanzania Ulipomfumania umpendaye ulichukua hatua gani?

    Asubuhi hii mie nipo busy . Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu. Siku moja niliamua kwenda kumsabahi mwaya dah yupo na mwana dada anatako kubwa , ni mrefu alikuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana Na Uhaba Wa Fursa Za Kiuchumi Na Kijamii: Mikakati Na Hatua Za Kuboresha Maendeleo Ya Watu Na Jamii

    Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uhaba wa fursa za kiuchumi na kijamii ni changamoto kubwa kwa watu wengi, hasa katika nchi zinazoendelea. Fursa za kiuchumi na kijamii ni nafasi au hali zinazowezesha watu kuboresha maisha yao, kujifunza mambo mapya, na kuchangia jamii. Uhaba wa fursa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi Mgonjwa anayedaiwa kuvunja Maadili MOI amechukuliwa hatua gani kwa kuingilia Faragha ya mtu?

    Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua Nne za Kimkataba Uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam

    HATUA NNE (04) ZA KIMKATABA UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM 1. Makubaliano ya ushirikiano kati ya Tanzania 🇹🇿 na Dubai - Makubaliano tayari yamesainiwa na kupitishwa na Bunge la Tanzania kwa lengo la kuweka Msingi wa Makubaliano baina ya nchi ili kuwezesha kuingia kwenye majadiliano ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii unachukua hatua gani?

    Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa. Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu. Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi...
  11. JamiiForums Tanzania Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania. Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
  12. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

    Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha Rais Biden pamoja na viongozi wakuu wa bunge mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Marekani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Subira Mgalu achukuliwe hatua kwa kumshambulia Profesa Tibaijuka bungeni badala ya kujadili Bajeti

    Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
  14. JamiiForums Tanzania Hatua muhimu kwenye kuweka wiring (umeme)

    Habari wakuu Mpangilio sahihi wa mawasiliano ya umeme ni hatua muhimu zaidi katika nyumba yako. Ni kwamba haiwezekani kuanza ufungaji wa wiring bila mpangilio na hatua sahihi, Hatua na mpangilio sahihi wa wiring sio tu kwa majengo mapya hata ambayo sio mpya. kusudi kuu la wiring...
  15. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Serikali inaposhindwa kujieleza, sisi wananchi tuchukue hatua gani?

    Kuanzia Mawaziri, Wakurugenzi na hata Wabunge wa chama chetu (CCM) na viongozi wa kichama na kiserikali wameshindwa kuiona, kuipata na kuijibu hoja ya wananchi kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye Bandari zetu. Ni mkataba kati ya Tanzania na Emirati kupitia kampuni ya DP World. Hoja kuu ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaookota mipira uwanjani waswahili husema usiige kunya kwa tembo. TFF chukueni hatua tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Siku zote mtu kufanya jambo lisilo la kwako na kulifanya kuwa la kwako lazima utaangukia pua tu. Tangu mechi ya Jana kati ya Taifa Stars na Niger kuna kitendo kilifanywa na hawa Vijana wanaookota mipira uwanjani, walirusha mara kadhaa mipira uwanjani kwa mkupuo. Watanzania wengi walishangilia...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Serikali kuwachukulia hatua kali watakaobainika kwa ufisadi ripoti ya CAG

    Serikali inafanyia kazi hoja za ukaguzi zilizotolewa na CAG na hatua zakisheria zitachukuliwa dhidi ya wale watakaothibitika kuwa ni wavunjifu wa sheria na kusababisha upotevu wa fedha za umma bila kujali mkubwa wala mdogo kama alivyoelekezaMheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya...
  18. JamiiForums Tanzania Waandaaji wa Tamasha la Boyz II Men kuchukuliwa hatua kutokana na show mbovu

    Shirikisho la Watumiji Huduma la Kenya (COFEK) limetangaza kuchukua uamuzi baada ya kupokea malalamiko ya mashabiki walioonesha kutoridhishwa na kiwango cha tamasha hilo linalotajwa kukumbwa na hali ya mvua pamoja na sauti mbovu ya muziki. Baadhi ya Mashabiki wametaka kuombwa radhi na waandaaji...
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

    Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Tunachukua hatua sasa?

    Nimeanza na swali hili ambalo lilikua ni wito kwa serikali zote Duniani kuhusu kusambaa kwa taka za plastiki katika mazingira yetu. Kiukweli taka za plastiki ni hatari Duniani kote si kwa binadamu pekee bali hata kwa viumbe wengine. Katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani hapo Mei 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…