Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,333
24,221
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

1687761662681.jpeg
 
Mbarawa kamuingiza mama Samia mkenge mbaya sana.
Halafu wanaona wako sahihi kabisa licha ya mapungufu mengi ya kimkataba yaliyo wazi kabisa nafikiri hili ilikuwa baina ya Samia na Mbarawa sidhani kama kuna Mwanasheria angeruhusu vipengele vyema utata kwa nchi yetu namna hiyo, huu ni Umangungo uliokubuhu unateteaje mkataba wa namna hii ?
 
Back
Top Bottom