FATED TO DIE
(MWENYE HATMA YA KUFA)
SEHEMU YA 01
“Baby, mambo ni mengi nashindwa hata kutulia” aliongea Salome akiwa ameshikilia simu yake, yalikuwa majira ya usiku na alikuwa akiongea na mpenzi wake ambaye kwa muda huo alikuwa maeneo ya mbali na nyumbani kwao. Baada ya kama nusu saa kupita...