CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu Lisu ambayo kipindi chote waliponyimwa Uhuru waliendelea kusoma na kufanya utafiti wakawadhalilishe wajibu hoja wa chama tawala.
Nawakumbusha kwamba; hawa wenzenu CHADEMA wanahitaji MTU mmoja Tu strong kusimama jukwaani kuibua hoja Ila CCM kama chama tawala wanahitaji kila kiongozi wa kisiasa na serikali kujidhatiti kujibu hoja za mwana CHADEMA.

Lolote atakaloibua mpinzani Tanzania lazima liwe national agenda. Waliibua mapungufu ya ndege Hadi Leo six years wanajibiwa lakini bado majibu hayatoshelexi. Waliibua bwawa la umeme, SGR, kutukuzwa KAZI watumishi hewa, katiba NK na haya yote hayana majibu Hadi leo hakuna majibu.

Tusipokuwa makini na kupanga safu upo uwezekano hao wapinzani wakabadilisha upepo WA kisiasa na viongozi WA chama tawala wakamshawishi Mwenyekiti awapunguze Kasi majukwaani kupitia dola. Hatuna wajibu hoja walioandaliwa.
 
Niko mkoa mmoja hapa ki ziara, nasikia gari linatoa wito kwa waendesha bodaboda kwamba wafuate zawadi zao kwa mh mbunge amekaa palee!!!

Ha ha haa!!
Najiuliza sio homa ya mikutano ya siasa ndiyo imeleta haya kweli? Kama ingekuwa schuduled wangejua lini wanakutana hii. Sio issue ya matangazo ya gari
 
Back
Top Bottom