Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekubali kuwa atajiuzulu Jumatano ijayo Julai 13, 2022 na ameshatoa taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardana ambaye ndiye ametoa tangazo hilo.
Tamko hilo limetolewa saa kadhaa baada ya waandamanaji kuvamia makazi yake na kuingia hadi ndani...