Hatimaye Rais wa Sri Lanka akubali kujiuzulu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekubali kuwa atajiuzulu Jumatano ijayo Julai 13, 2022 na ameshatoa taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardana ambaye ndiye ametoa tangazo hilo.

Tamko hilo limetolewa saa kadhaa baada ya waandamanaji kuvamia makazi yake na kuingia hadi ndani ya jengo hilo wakishinikiza ajiuzulu kutokana na hali mbaya ya kimaisha Nchini humo.

Baadaye waandamanaji hao walivunja makazi ya Waziri Mkuu, Ranil Wickremesinghe na kuchoma moto.

“Lengo la maamuzi hayo ni kurejesha hali ya amani, hivyo wananchi wanaombwa kutulia,” alisema Spika

Rais alihamishwa kutoka katika makazi yake kabla ya waandamaji kuingia ndani.

Source: Aljazeera


========

Sri Lanka’s President Rajapaksa to step down on July 13: Official

Resignation follows after President’s residence stormed by protesters and PM Ranil Wickremesinghe’s home set on fire

Sri Lankan President Gotabaya Rajapaksa has agreed to step down next week, the country’s parliamentary speaker, Mahinda Yapa Abeywardana, has said.

The announcement came hours after protesters stormed the president’s official residence to vent their anger over the country’s severe economic crisis. Protesters later broke into Prime Minister Ranil Wickremesinghe residence in the capital Colombo and set it on fire.

“To ensure a peaceful transition, the president said he will step down on July 13,” Abeywardana said in a televised statement.

Rajapaksa will remain as president until Wednesday to ensure a smooth transfer of power, Abeywardena said.

“The decision to step down on 13 July was taken to ensure a peaceful handover of power,” he said.

“I therefore request the public to respect the law and maintain peace,” he added.

The news of president’s decision triggered an eruption of celebratory fireworks in parts of Colombo.

Earlier in the day, President Rajapaksa was evacuated from the President’s House in the capital, Colombo, before thousands of protesters stormed his residence, demanding his resignation, in one of the largest anti-government marches in the crisis-hit island this year.

A Facebook livestream from inside the president’s house showed hundreds of protesters packing into rooms and corridors, shouting slogans against the beleaguered 73-year-old leader.

Footage of protesters standing and some bathing in the swimming pool inside the president’s home was widely circulated on social media.

Protesters later broke into the home of Prime Minister Ranil Wickremesinghe and set it on fire.

Video footage on local news channels showed a huge fire and smoke coming from Wickremesinghe’s private home in an affluent Colombo neighbourhood. His office said that protesters had started the fire.

There were no immediate reports of injuries in the blaze. Wickremesinghe had moved to a secure location earlier in the day, a government source told Reuters.

Thyagi Ruwanpathirana, a researcher at Amnesty International, told Al Jazeera that Sri Lanka will “not come out of this crisis for some time”.

“There is a lot of wait and watch and that is affecting the people,” she said.

“We have not had fuel for days … Just imagine running out of fuel. People cant get to work. Kids can’t get to school. The whole economy is at a standstill,” she said from Colombo.
 
Chafya inapigwa Ukraine Kamasi kamasi zinachuruzika Sri Lanka

Rais wa Sri Lanka hakuwa na weledi wa kuhamisha mada pamoja na watu muhimu kama kina Diva na Steve Nyerere
 
😁😁😁
image32.jpg
 
Hayawi hayawi yamekuwa RAIS wa Nchi ya SRI LANKA amelazimika KUTOROKA Nchi yake na kwenda Uhamishoni baada ya Wananchi kuandamana na Kuanzisha Makazi IKULU kutokana na Hali mbaya ya Kiuchumi inayoikumba NCHI hiyo na Kupelekea RAIS wa NCHI hiyo KUTOROKA.

Hali mbaya ya UCHUMI imetokana na MIKOPO kuwa Mikubwa mpaka imevuruga UCHUMI wa Nchi hiyo.
 
Kamanda/Mpigania legacy, kwema?

Kwani ndo unasikia leo?!!!!!!!
Mi nikajua unamzungumzia huyu mpya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom