hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    Mutulu Shakur hatimaye katoka gerezani

    Baba wa kambo wa Pac na baba mzazi wa rapa Mopreme, kaka yake Assatta hatimaye yuko huru, lakini ana siku chache za kuishi sababu ya kansa. Taarifa zaidi inafuata.
  2. Shujaa Nduna

    Hatimaye nimefanikiwa kupata Mbolea

    Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha. Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa kupata mbolea zote. Kule kwenye usumbufu zaidi taratibu ziwekwe sawa ili kuwawezesha wasiynpata wapate...
  3. MK254

    Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

    Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya kutungua mashambulizi ya angani yametua Ukraine. Madude haya ni NASAM, Aspide na Iris. Yakifungwa...
  4. M

    Lewis Hamilton huenda akashinda kesho Mexico Grand Prix

    Mzuka Wanajamvi! Katika hatua za kufuzu Lewis Hemilton aneshika nafasi ya kwanza first spot au first pole leo kwenye Mexican Grand Prix. Hii itampa uwezekano wa kuibuka mshindi kesho, baada ya mashindano mengi. Hamilton kapitia kipindi kigunu sana hasa kisaikolojia baada ya kupitia ubaguzi wa...
  5. sinza pazuri

    Joseph Kusaga ampa support Mbosso

    Joseph Kusaga ameshea jina la EP ya Mbosso. Ep itaitwa KHAN na itatoka kesho saa 6 usiku.
  6. Maxence Melo

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Wakuu, Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku. Mashambulizi haya yaliyolenga kuidhoofisha...
  7. Kaka Yaoh

    Hatimaye Watanzania wamempata Pitso Mosimane wao Juma Mgunda (Guardiola Mnene)

    Aliiongoza Coastal Union kucheza fainali ya kombe la FA. Inshaallah mwenyezi Mungu muweza wa yote akimpatia uzima na afya njema siku ya tarehe 16/10/2022 ataiongoza miamba ya soka ya Afrika Mashariki Simba Sc kutinga katika makundi ya ligi ya mabingwa Afrika. Hakika Juma Mgunda ni dhahabu na...
  8. Nyenyere

    Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

    Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
  9. Mag3

    Kitendawili cha wasiojulikana hatimaye kimeteguliwa na Spika Tulia?

    Nimetulia namsikiliza kwa makini Spika Tulia akiwataka vijana wanaosadikiwa ni wa CCM kuwashughulikia wanaowakosoa viongozi wa chama na serikali. Moja kwa moja nikamkumbuka kijana machachari Ben Saanane kwa jinsi alivyokuwa anahoji sifa za Rais na Mwenyekiti wa CCM, John Pombe Magufuli (RIP)...
  10. G'taxi

    Rais Vladmir Putin asaini kuichukua rasmi mikoa minne ya Ukraine kuwa sehemu ya Urusi

    Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine. Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya. Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana. ===========...
  11. B

    Hatimaye Polisi ni malaika, wahanga nao wamesahau?

    Hiki ni kibwagizo kidogo tokea Tarime. Ni majuzi tumeona kipigo cha mbwa koko kwa mtuhumiwa aliyekuwa kwenye pingu. Haifahamiki kama polisi wahalifu wale kuna angalau walio bado korokoroni. Mtwara tuliyekuwa tukiambiwa jambazi kumbe ndiye aliyekuwa mhanga wa yale majambazi sugu yenyewe. Ya...
  12. C

    Hatimaye nimekutana na my wangu

    Jamani samahani kwa wale wote mlionitafute kwa Uzi ule wa "NATAFUTA MKE MWENYE MTOTO".
  13. Dr Matola PhD

    Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

    Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo. Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha siri, ila Kwa huyu Ahmed Ally Kwa utoto wake msiruhusu ashiriki vikao vyenu nyeti mmekwisha...
  14. MK254

    Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

    Kuna namna Ukraine wameibuka kama ambao wamepagawa, fulu kujitoa mhanga aisei....mzuka hadi basi, hii imewashangaza Urusi mpaka wakapoteana, wakawa wanauawa kama nzige, imefikia hatua za kuagizwa wakimbie mapambano, wameacha silaha na kutoka nduki. Vijana wanakomboa ardhi yao, bendera yao...
  15. Checnoris

    Hatimaye nimemsahau. Nilikuwa nikimpigia au kum-SMS mara 10 kwa wiki, nimetulia

    Huyu ni mke wa mtu. Nilikuwa ninaomba dua niachane naye, ikashindikana, nisi muwaze ikashindikana, nilimtumia pesa na zawadi kibao. Jf ilinishauri sana kiachana naye, nilijitahisi sana. Nikajijuta siku Moja nikaipiga shoo moja ya hovyo sana. Nilikuwa dhaifu asna na nikijua na yeye hakuifurahia...
  16. MIXOLOGIST

    Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  17. L

    Maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yafika China

    Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi mabichi ya Kenya yaliwasili katika bandari ya Waigaoqiao mjini Shanghai. Inatarajiwa kuwa wakazi wa...
  18. Championship

    FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama 19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
  19. MK254

    Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  20. supatolu

    Nimejiunga rasmi JF na mimi hatimaye

    Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kitambo. Na kiukweli nimejifunza mengi nimeburudika na nimeona umuhimu wa kushiriki kama member. Hatimaye leo nimefanikiwa . Naomba mnipokee wana JF hasa GTs. Mungu ibariki JF.
Back
Top Bottom