hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

    BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali. Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
  2. mahindi hayaoti mjini

    Hatimaye Arsenal yashuka mpaka nafasi ya pili msimamo EPL

    Baada ya kipindi kireeeefuuuuu cha kukalia usukani hatimae Arsenal wameshushwa leo na Man City. Je, ndio basi tena au watarudi?
  3. TODAYS

    ZANZIBAR: Hatimaye House of Wonder Imepata mkandarasi, kutoka Oman

    Hili jengo (pichani) Nyumba ya Maajabu (House of Wonder) ni sehemu ya urithi wa visiwa hivi vya Zanzibar, toka mkoloni alipong'olewa kuja mpaka miaka ya hivi karibuni jengo hilo limeingizia Zanzibar mapato mengi yatokanayo na utalii. Miaka ya hivi karibuni jengo hilo lilibomoka na kuanguka hali...
  4. Basi Nenda

    Hatimaye Munishi afunguka kuhusu gari ya Geodervie

    Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha. Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili...
  5. B

    Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

    Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo: Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
  6. warzone

    Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

    h
  7. Mtanga90

    Ujerumani yaruhusu upelekwaji wa vifaru vya Leopard 2 nchini ya Ukraine

    Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine. Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na Ujerumani ambavyo wanasema ivtawasaidia kuishinda Urusi. Lakini Ujerumani bado haijatoa magari ya...
  8. Stroke

    Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

    Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno. Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee. Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
  9. M

    Anayefikiri kuwa moto wa Arsenal ni wa mabua, ni kama fisi anayemnyatia mtu akidhani mkono wake utadondoka apate kitoweo

    Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!! Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

    Ni safari ya miaka 9 ya kufahamiana nae, ni jirani yangu kutoka huko mkoa wenye Mawe mengi zaidi. Nilimfahamu kanisani nikiwa likizo ya masomo (nimetoka advance) yeye akiwa o-level form two binti mdogo sana asiyejua chochote kile, hapo ndipo safari yetu ya kufahamiana ilipoanzia. Kwa akili...
  11. MSAGA SUMU

    Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

    Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina. Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa...
  12. J

    Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  13. eliakeem

    Hatimaye Wamekiri bayana: Kumchukulia poa Urusi ni kujipeleka kwenye kipigo

    Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia...
  14. Kusini pride

    Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba

    Unjani sabuwona Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A. Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but...
  15. 2019

    Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

    Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote. Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu. Kombe la dunia sijakosa mchezo hata mmoja hata nikiwa kazini natega tu simu yangu nachek game live tena HD...
  16. MakinikiA

    TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

    Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
  17. aka2030

    Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

    Amepost kwenye insta story yake MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
  18. GENTAMYCINE

    Hatimaye Rapa (Atalaku), (Pitshou Lisimo) wa Wenge BCBG ampata Msaidizi wake Tishio Fusee De Guere

    Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia rapa (Atalaku) Kiongozi Pitshou Lisimo ( jina la Kimuziki GENTAMYCINE ) ila kwa sasa ameshapatikana...
  19. Kusini pride

    Huku yues fungate" hatimaye tumefika qatar"

    Aisee kiukweli siwezi kuelezea safari yangu ya fungate toka marekani missouri nyumbani mpaka qatar aisee huku yues.Habari majobless na mnaishi kwa shemeji zenu samahani kama nitawakera kwa hizi bata zangu ila pesa zipo kwa ajili yetu na nyie kuna siku mtazikamata tu huku yues. Safari yangu mimi...
  20. Kusini pride

    Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

    Kwema? Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church. Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
Back
Top Bottom