hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania 🎉 Hatimaye Miaka 2 ya SmartBusiness Startup 🚀

    Miaka miwili sio safari ndefu sana, lakini kwa sisi SmartBusiness imekuwa kama karne nzima ya mafunzo, uzoefu na changamoto.. Tulianza kama ndoto kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati Africa kuacha daftari na kalamu na kutumia zana za kidigitali kusimamia biashara zao. Safari haikuwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC hapa hapa JF nilishawahi kuwaambia ongeeni na Nabi ili mumchukue mkanipuuza, hatimaye baada ya Kipigo juzi mmeanza kuzungumza nae aje

    Mkimpata kila la kheri atatusaidia kwani ninamuona ni bora mara mbili ya Fadlu ila Fadlu ni Kocha wa Kimataifa pekee.
  3. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

    "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi katika sehemu kubwa zaidi, yenye giza zaidi, China. Wawe na mustakabali mrefu na wenye mafanikio pamoja!" — Donald Trump Hivi karibuni Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa za India hadi kufikia 50% kama adhabu kwa sababu ya India kuendelea kununua mafuta...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yule aliyekuwa akihubiri kwamba Yesu sio Mungu amenena wazi leo kuwa Yesu ni BWANA!

    Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama mkosoaji wa Ukristo. Lakini leo ameushangaza ulimwengu! Ameandika mada mtandaoni yenye maneno yanayoonesha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baraka za Kaskazini, Hatimaye Makonda akiri jambo muhimu

    Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya 1. Uoe au Kuolewa Kaskazi 2. Usome Kaskazini 3. Uzaliwe Kaskazini Watu wa Kaskazini Kilimanjaro na Arusha wana IQ kubwa 120+ ukiwa karibu nao...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ana kwa ana na wapiga doria mitandaoni. Yapigwaje hiyo? Au ni hawa ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini?

    Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza? Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla? Au tuseme...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

    Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo. Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume. Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA KWA YESU: Hatimaye jiji limeangukia mikononi mwa mitume na manabii

    Geneva of africa is fall down Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia kivuli cha dini kufanya utapeli. Wanauzia watu maji na mafuta wanayowaaminisha watu kuwa ni ya upako na...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  11. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hatimaye pikipiki yangu niliyonunua wiki mbili zilizopita imenikanda.

    Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika. I don't blame anyone kwani kabla ya kununua...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kesi yangu na NMB Bank yapata ufumbuzi

    Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea. Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Je, Donald Trump hatimaye ameanza kuuelewa msimamo wa Putin?

    Katika gazeti la The Independent, ambalo limebainisha katika tahariri yake kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump ameanza kutambua waziwazi kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin "si mfanyabiashara, bali ni kiongozi anayestawi katika vita na anaamini katika kufufua wazo la kuwa na Urusi Kubwa,"...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepigwa na mshangazi wangu

    Wakuu, mshangazi wangu alifuma sms za pisi nyingine whatsapp, amenipa kichapo heavy yaani nyie acheni tuu
  15. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye jaribio la Trump kuiondoa China kwenye mfereji wa Panama limefeli

    Ikumbukwe kuwa mwezi March Trump alitamba kuwa Suez Canal itakuwa chini ya control ya Marekani: "China inaendesha Mfereji wa Panama, na hatukuipa China - tuliipa Panama - na tunaurudisha." – Trump (March, 2025) Hapo Trump alikuwa anazungumzia bandari 2 muhimu zinazomilikwa na kampuni ya...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

    Tunawachoraaa tuuuu Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!. Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
  17. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye, leo mimi ndio nahitaji ushauri kwenu wanajamii

    Iko hivi, 1. Leo nimegundua kuwa mwanamke ninaempenda sana ana ugonjwa ambao ni mtihani kwa watu wengi sana. 2. Ndugu zake wamekuwa wakiniharakisha nimuoe huyu binti tangu mwezi ule wa kwanza wa kukutana kwetu. Hiki ni kitu kilinitisha sana nikachagua kuvuta subira kwanza mpaka nijue ni nini...
  18. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hatimaye RunX imeingia Mwanza

    Ndugu wajomba leo ndio nimefika mwanza saa 1 asubuhi bila yowe lolote kwenye gari wala changamoto yoyote njiani sijapata. Ila changamoto ni Mataa ya semi na mafuso usiku kidogo nihame njia, natamani kufunga zile taa zenye mwanga mkaliiii mweupe ili nikiwa narudi nisiteseke njiani. Asanteni...
  19. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

    Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration). Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Ayatollah hatimaye atoka kwenye shimo alikokuwa amejificha

    Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya dini, anategemewa hadi huku Afrika. Mengi yataandikwa sana baada ya kilichofanywa na Israel juzi...
Back
Top Bottom