hatimaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wadachi wamewarudishia Wachina kampuni ya Nexperia

    Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili. Mnamo Septemba, serikali ya Uholanzi ilisitisha kampuni hiyo kutokana na wasiwasi kuhusu usalama wa upatikanaji wa chipu barani...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nilisema kuhusu wahaini kuachiwa ili kumjenga kisiasa Rais Samia hatimaye leo yametimia

    Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini, Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika. Hatimaye yametimia leo.
  3. Quimica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea. Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye pepsi wamvua ubalozi Diamond Platnumz

    Lilikuwa ni suala la muda tu. Hatimaye imetiki. Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania. Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Polisi waliokuwa wanalinda Wasafi Media wameondoka

    Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale. Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers... Ndo maana Diamond hakiweza kusema chochote kuhusu Maandamano.. Alishindwa awe uoande gani. Upande wa...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Trump aahidi kuwalinda Wakristo nchini Nigeria!

    Rais Donald Trump (Mungu ambariki sana) amesema atatumia US military might kulinda Christians wanaouliwa na muslim jihadists nchini Nigeria. God Bless D.Trump ... ————— Christianity is facing an existential threat in Nigeria. Thousands of Christians are being killed. Radical Islamists are...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Day 3: Hatimaye Polisi Mafinga watii Amri ya Wananchi, Waachilia wote waliokamatwa kwenye maandamano

    Polisi wa Mafinga wameamliwa kutii amri ya raia kutoa watu wote walioshikiliwa kwasababu ya Maandamano watolewe na wamewatoa wote. MADAI YA WAANDAMANAJI. 1. Uchaguzi ufutwe, 2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi 3. Waliotekwa waachiliwe huru, 4. Kesi za mchongo zifutwe
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Stephen Wasira atema Cheche kuhusu Bandari ya Dar

    Hata hajui anaongea nini nadhani. Kwani mwaka huu CCM haawana Ilani? Wangejikita kunadi Ilani
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kuna Mauaji ya Kimbari ya Wakiristo yanaendelea Nigeria

    Ni muda mrefu sasa maskini wawatu, wakiristo wa Nigeria wamekuwa wakichinjwa na Waislamu wenye Siasa Kali huko Nigeria katika maeneo ya kaskazini na kwa siku za karibuni Central Plateau States. Kibaya zaidi Serikali ya Nigeria hasa baada ya kuingia madarakani the Islamist Muhammad Bhukhari...
  10. Chibike

    JamiiForums Tanzania LAANA ya wanasimba kwa timu mbovu ya Berkane hatimaye yatimia rasmi leo, ashukuriwe Allah

    Wanasimba wenzangu kama mnavyokumbuka tulivyofanyiwa figisu na uonevu mkubwa na timu hii mbovu ya Berkane na hata kiongozi wao sababu ana cheo kikubwa huko CAF tukanyimwa kucheza mechi yetu ya fainali kombe la shirikisho katika uwanja wetu wa nyumbani Mkapa, hio haitoshi wakahakikisha wanamhonga...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye BYD wafungua dealership Tanzania

    Mchina kaamua kuwasogezea huduma hadi nyumbani. BYD wameamua kufungua dealership ya vyuma vya umeme Tanzania. Sasa ni wakati wa kutembelea matako bila kuwazia bei ya mafuta, mchawi Tanesco.
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimetukanwa sana jambo linatimia sasa

    Keep going JWTZ Britanicca
  13. H

    JamiiForums Tanzania 🎉 Hatimaye Miaka 2 ya SmartBusiness Startup 🚀

    Miaka miwili sio safari ndefu sana, lakini kwa sisi SmartBusiness imekuwa kama karne nzima ya mafunzo, uzoefu na changamoto.. Tulianza kama ndoto kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati Africa kuacha daftari na kalamu na kutumia zana za kidigitali kusimamia biashara zao. Safari haikuwa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC hapa hapa JF nilishawahi kuwaambia ongeeni na Nabi ili mumchukue mkanipuuza, hatimaye baada ya Kipigo juzi mmeanza kuzungumza nae aje

    Mkimpata kila la kheri atatusaidia kwani ninamuona ni bora mara mbili ya Fadlu ila Fadlu ni Kocha wa Kimataifa pekee.
  15. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

    "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi katika sehemu kubwa zaidi, yenye giza zaidi, China. Wawe na mustakabali mrefu na wenye mafanikio pamoja!" — Donald Trump Hivi karibuni Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa za India hadi kufikia 50% kama adhabu kwa sababu ya India kuendelea kununua mafuta...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yule aliyekuwa akihubiri kwamba Yesu sio Mungu amenena wazi leo kuwa Yesu ni BWANA!

    Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama mkosoaji wa Ukristo. Lakini leo ameushangaza ulimwengu! Ameandika mada mtandaoni yenye maneno yanayoonesha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Baraka za Kaskazini, Hatimaye Makonda akiri jambo muhimu

    Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya 1. Uoe au Kuolewa Kaskazi 2. Usome Kaskazini 3. Uzaliwe Kaskazini Watu wa Kaskazini Kilimanjaro na Arusha wana IQ kubwa 120+ ukiwa karibu nao...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ana kwa ana na wapiga doria mitandaoni. Yapigwaje hiyo? Au ni hawa ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini?

    Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza? Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla? Au tuseme...
  20. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

    Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo. Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume. Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
Back
Top Bottom