Hatimaye Magaidi wa Hamas wapata kiongozi mpya baada ya Yahya Sinwar!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,439
Reaction score
7,853
Hamas imetangaza rasmi kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama kiongozi mpya wa shirika hilo la kigaidi akimrithi marehemu Yahya Sinwar muasisi wa mauaji ya Oct 07,2023 huko Gaza na ambaye aliangamizwa na majeshi ya Israel.

Kwa TANGAZO hili Majeshi ya Israel sasa yanaanza kimbembe cha ku Sakwa na kumuua kiongozi huyu wa kigaidi!!!!!

IMG_5655.jpeg
 
Habari njema kwa wapambanaji wa hamas
Ukisikia kata mti panda mti ndio hii sasa
 
Sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu na hilo halina ubishi ukiona anayebisha naye lazima atakuwa ni walewale.

Ngoja tuone atakayebisha.
 
Hamas imetangaza rasmi kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama kiongozi mpya wa shirika hilo la kigaidi akimrithi marehemu Yahya Sinwar muasisi wa mauaji ya Oct 07,2023 huko Gaza na ambaye aliangamizwa na majeshi ya Israel.

Kwa TANGAZO hili Majeshi ya Israel sasa yanaanza kimbembe cha ku Sakwa na kumuua kiongozi huyu wa kigaidi!!!!!
Yap! Another figure/Target subject to ELIMINATION very soon.
 
Sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu na hilo halina ubishi ukiona anayebisha naye lazima atakuwa ni walewale.

Ngoja tuone atakayebisha.
Mm hapa.
 
Hongera kwake.Apitepite kwa majirani awasabahi na wamtambue vema.
Weweeee! Acha bhana; Humtakii mema. Kuanzia siku ya uteuzi rasmi ndo siku hiyo-hiyo alipata kibali na sharti la lazima kuingia shimoni(kwenye handaki) kama mjomba wake wa kule Uajemi. Ole wake! Akijaribu kutoka tu utasikia ELIMINATED.
 
Back
Top Bottom