MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,736
- 7,973
Nilishasema hapa kama Trump angejua ana dili na nani asingepoteza muda kuweka mikwara mingi pasipo suruhisho sasa akili imemkaa na ameamua kwenda china kupiga magoti na kumsihi china amshawishi Iran afungue Horms
Ngoja nicheke kwa chini chini kwi kwi kwi kwi kwi......
Ngoja nicheke kwa chini chini kwi kwi kwi kwi kwi......